Miaka 10 umekaa tu unasubiri ajira?. 10 years msomi wa chuo kikuu umekosa kabisa cha kufanya kweli?. Mbaya zaidi maswali ya pedagogy na educational psychology unaita Geography?. Laiti ungelijua hata ukipata hiyo kazi ni sawa na kupoteza miaka mingine 20 ama 30 ungeanza kujiongeza mapema. Yani...
UDSM imeharibiwa na siasa za JPM. Between 2015-2020 elimu ya vyuo vikuu na tasnia ya habari vilivamiwa na siasa za uchawa. Wasomi na wanahabari wakaanza kulamba teuzi kama hisani ya uchawa na upotoshaji. UDSM ikiaanza kuwa kichaka cha kulinda maslahi ya wanasiasa huku waandishi wa habari nao...
Waziri Mkenda katoa majibu ya kihuni. Cheo cha Mwalimu Mkuu ni cheo cha uteuzi alafu anatamka kwamba wakate rufaa (kudai haki ipi?). Viongozi wapunguze mihemko ya kufanya maamuzi kwa kufuata kelele za mitandaoni. Mkenda ni prof ni muhimu kuotendea haki elimu yake kwa kulosadia taifa kwenye mambo...
Wimbo upite BASATA
Kwamba maudhui yake yanafaa alaf mkuu wa shule/mwl.mkuu apokee wageni (wafadhili) aanze kukagua kama wana wimbo wa Zuchu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1430]
Alaf mawaziri wapo serious wanatoa matamko[emoji1787][emoji1787][emoji1430]
Haki nchi hii kuna...
Kuna kila dalili za uhaba wa viongozi ndani ya CCM. Cheo hiki huwa kinastahili mtu mwenye uzoefu wa kutosha, hekima, ushawishi na mjuzi wa kuongea bila kuzua taharuki. Makonda vipaji hivyo hana, zaidi sana anauwezo wa kutawala. Lkn siyo mbaya kikubwa watulindie amani yetu na rasilimali zetu.
MBELE YA MWENYEZI MUNGU BINADAM WOTE WANATHAMANI NAAKUSUDI YAO CHINI YA JUA NDIO MAANA KUNA WENYE AKILI WENGI WANAKUFA WANAWAACHA VICHAA AMA WATU WANAOTEGEMEWA KUFA NA KUWAACHA WATU BAKI WAKIFAIDI DUNIA.HIVYO USIMDHARAU MTU ATI KWASABABU YA HISIA KWAMBA WEWE NI MHESHIMIWA.KUMBE PENGINE HESHIMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.