Recent content by Plate Number

  1. P

    Wakazi wa Sombetini Arusha wamegombea uteuzi wa Diwani Bananga

    Wana Jamii Forums Wananchi wa Kata ya sombetini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jiji Arusha wamegomea uteuzi wa aliyekuwa diwani wa kata hiyo , Ally Bananga, kwa madai ya kubebwa na chama licha ya kushindwa kwenye kura za maoni. Muda mchache uliopita Mweyekiti wa BAWACHA...
  2. P

    Jambazi mmoja ameuawa na wananchi Sinza Palestina

    Wakuu, Niko eneo la tukio jambazi mmoja ameshauwawa na mwingine amejificha chini ya mfereji nitawajuza baada ya muda kinachoendelea. ====
  3. P

    Nahitaji software ya kumlocate mtu

    Wakuu ninaomba anayejua software ya kuweka kwenye simu/namna ya kujua alipo mtu kupitia number ya simu anielekeze. Mfano : mtu yuko Mara lakini anakuambia yuko Songea naomba msaada plz. Anayeijua anaweza kuniPM.
  4. P

    Mtoto afungiwa ndani kwa miaka miwili Iringa

    Nadhani msichana wa kazi hana kosa hapo. Ifike mahala tuukubali ukweli na tuuseme. Kama mimi ndio nashughulikia hii issue nitaanza kuwakamata wazazi wa mtoto huyu wajieleze kwa nini miaka miwili wao hawakuwa wanafuatilia maisha ya mtoto wao? walikuwa wapi miaka yote miwili mtoto kafungwa...
  5. P

    Toka uwanja wa taifa DSM, Live Morning Star Radio & TBC1: Mission Extravaganza Tanzania

    Aisee kumbe wasabato ni wengi hivi, nimeangalia TBC ni wengi mno napenda wanavyopiga machi
  6. P

    Mama Akiwajibika Jimboni Kwake !

    Hahaha Dotto Mnzava wewe ni shidaaaaaaaaaaaaaa mama Katoka kukagua hekar zake 5000 ambazo atajenga akistaafu.... au atakuwa katoka kurenew licence.
  7. P

    Mama Akiwajibika Jimboni Kwake !

    Hahaha Dotto Mnzava wewe ni shidaaaaaaaaaaaaaa mama Katoka kukagua hekar zake 5000 ambazo atajenga akistaafu.... au atakuwa katoka kurenew licence.
  8. P

    Hawa ndio waliofilisi rasilimali za Same

    Yeyoote anayejitokeza kugombea Ubunge Same Mashariki na Magharibi bila kuwahakikisha kuondoa tatizo hilo msimchague huku kwetu Mara napo ni majanga tu, sasa hivi tumepanga kuandikishiana kumaliza tatizo hili bila hivyo hakuna kupata kura.
  9. P

    Kwa waliosoma Shighatini Sekondari Mwanga

    Blaza umenikumbusha mbali sana kipindi kaka Kichungo Ngoma anatupiga somo mascul aisee.
  10. P

    Ajifungua Watoto mapacha walioungana katika eneo la kifua

    Aisee tuwaombee wapone na upasuaji ufanyike kwa hali ya juu, hawa ni binadamu wenzetu looh.
  11. P

    Kamati ya Bunge imepata ajali Rungwe mkoani Mbeya

    Majitu mengine sijui kama yakoje inamaana hujaelewa kuwa huyu amewanukuu ITV?
  12. P

    Sukari ya matumizi viwandani yauzwa majumbani

    Kikosi kazi kilichokuwa kinafanya ukaguzi wa sukari kwa wafanyabiashara wakubwa na wa rejareja jijini Tanga, kimebaini kuwapo kwa sukari nyeupe inayopaswa kutumika viwandani badala yake imekuwa ikiuzwa kwa wananchi kwa kutumika majumbani. Sukari nyeupe hutumika viwandani kutengenezea bidhaa...
  13. P

    Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni

    Tutazidi kuvuka vihunzi hadi kieleweke.
Back
Top Bottom