Recent content by Plastic

  1. Plastic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 IGP na mfumo wa usalama wajiandae kisaikolojia, uwajibikaji unakuja

    Msisacrifice IGP na Mfumo wa usalama. Waliochochea chuki ni wanasiasa. Kuna mmoja alisema kabisa hataki kusikia Nywinywinywi. Pia waliotoa maagizo kwa hivyo vyombo vya usalama yaliyopelekea vifo ni viongozi wa kisiasa (wa CCM). Waanze kutumbuana wenyewe kwa wenyewe kwanza. Na ukisha tumbuliwa...
  2. Plastic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni uapisho wa Waziri Mkuu, lakini sura nyingi zinaonekana zenye huzuni, nini kinawasuta kwenye nafsi zenu?

    Wanaona aibu kidogo tu. Lakini haimaanishi wanajali
  3. Plastic

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi tuwakatae hawa vibaka wanaopanga vurugu nchini huu ndiyo uzalendo

    Zaidi ya hayo, wakenya wamekuwa wakitekwa mara kwa mara na kuteswa na wakati mwingine kuuliwa. Kura nyingi sana za wakenya zimeibwa wakati wa uchaguzi hapa Tz. Wakenya walikua mstari wa mbele kuhamasisha maandamando Tz hata kabla ya Oct 29. Wakenya wengi sana walipigwa risasi wakati wa uchaguzi...
  4. Plastic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Unakiri kwamba hakukua na njia za haki na kisheria katika kumchagua rais? Unatambua "uapisho" lazima utanguliwe na upatikanaji wa rais kihalali na kwa mujibu wa sheria? Ili rais apatikane lazima kuwepo na mambo mawili(In this sequence); 1. Uchaguzi wenye haki na kwa mujibu wa sheria 2. Uapisho...
  5. Plastic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kusex usiku kucha alinipa tsh 2000 tu😭💔

    Kivu kinamuuma😂😂
  6. Plastic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    Anaongelea maji gani?
  7. Plastic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    Mgao upo. Lakini watu hawajapauka. Rais wako anataka wanawake wapauke ndiyo ajue hakuna maji.
  8. Plastic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    "Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli." - Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida...
  9. Plastic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Una ushahidi wa hili?
  10. Plastic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Naomba niwekwe sawa. Hizo fedha anatoa mfukoni kwake au ni za serikali?
  11. Plastic

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    China walijaribu wakashindwa.
  12. Plastic

    JamiiForums Tanzania TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Hawawezi fungia VPN. China wenyewe wameshindwa. Acheni uoga.
Back
Top Bottom