Recent content by Plant pathologist

  1. P

    Sawa tumekubali yaishe

    Pia Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  2. P

    Sawa tumekubali yaishe

    Duh [/IMG] Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  3. P

    Sawa tumekubali yaishe

    [/IMG] Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  4. P

    Sawa tumekubali yaishe

    Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  5. P

    Sawa tumekubali yaishe

    Pia Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  6. P

    Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Huo mmea wa kwanza ambao mbegu zake hunasa kwenye nguo common English name yake ni Devil's horsewhip. Mmea huu ni jamii ya familia iitwayo Amaranthaceae. Kwa kilatini (Latin/ botanical name) mmea huu unaitwa Achyranthes aspera. Tafiti zinaonesha kwamba mmea huu unaweza kutumika ktk tiba za...
  7. P

    Sayansi imethibitisha: Mwanamke huwa haridhiki kamwe

    Uko vizuri mkuu, I have got no doubts on this!
  8. P

    Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

    Hii ni chuki tu uliyonayo mkuu! Ifike mahali watu mkubali kwamba tunatofautina mno! Kama haukuwa vizuri darasani, basi kubali tu maana ndio akili uliyojaaliwa! Kwa nini mtu uwabeze wenzio ambao hukuwahi japo kuzikaribia tu alama zao za ufaulu shuleni! Chuki ya nini? Mtu tangu uanze kusoma...
  9. P

    Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

    Darasa la saba alama 244 Kati ya 250, nikachaguliwa Tabora boys'(O'level) . Kidato cha nne div 1.9 nikachaguliwa Kibaha PCM. Kidato cha sita div 1.5
  10. P

    Mapigo ya moyo kuongezeka, kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu ninapotembea kwenye mwinuko.

    Asante mkuu nilipima hb vipimo vikaomesha imeshuka hadi 6.6! Sasa natumia vidonge vya folic acid, hemovit syrup na pia natumia juisi ya lozera kama nilivyoshauriwa na daktari wangu. Tatizo langu ni kwamba nina stomach ulcers ambazo zilibreed kwa ndani na kunisababishia kadhia hii.
  11. P

    Mapigo ya moyo kuongezeka, kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu ninapotembea kwenye mwinuko.

    Sidhani kama nimeongezeka uzito ila nitafanya vipimo kama ulivyonishauri
  12. P

    Mapigo ya moyo kuongezeka, kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu ninapotembea kwenye mwinuko.

    Wakuu naomba madaktari mnisaidie kuhusu tatizo langu hili ambalo kimeanza kunisumbua hivi punde. Nashindwa kuelewa naweza kuwa na tatizo gani.
  13. P

    Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Kantalamba (O'level), Kibaha (A'level). Nitazipenda daima shule zangu hizi.
Back
Top Bottom