Alijitangaza wapi au alitoa mwelekeo wa uchaguzi. acheni upashkuna nyie kuweni kama wasomi. Mbona january makamba alikuwa akitoa mwelekeo wa matokeo ya mgombea wao kwani alikuwa anajitangaza mshindi? Na alisema kwa mwelekeo huu ccm itashinda. Wapinzani wakitoa mwelekeo ni kosa lakini ccm wakitoa...
Watanzania twendeni kwa amani na kila mtu apewe nafasi na fursa yake anayostahili. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki wagombea wote na haki na amani vitamalaki
Kwako Dr. Slaa,
Nimekufahamu kwa takribani miaka 6. Ninafahamu baadhi ya tabia zako, unavyovipenda na usivyopenda. Wewe ni mtu mzima sana kwa sasa na kila ufanyacho kinachukuliwa kuwa kimefanywa na mtu mzima mwenye maamuzi na tena maamuzi thabiti. Baadhi ya sifa ulizonazo ni pamoja na
1...
Kwako Ndg. Kinana,
Katika maisha ya mwanadamu ziko hatua za kukua. Utoto, Ujana, Utu uzima na Uzee. Kinana ulipofika wewe ni mzee na mzee ana heshima yake katika jamii. Katika maisha ya siasa, kuna namna nyingi za kuwasilisha taarifa au ujumbe ambapo katika kuwasilisha unaweza kuonekana...
WanaJF
Ukweli ni kwamba kushindwa kwa Rais Kikwete kukiongoza chama kumepeleke upenyo wa Mhasimu wake Edward Ngoyai Lowassa kutimkia Ukawa. Binafsi naona kwamba chama hakikujipanga kwa kuwa waliyokuwa wanayasema kwenye majukwaa na vyombo vya habari hawakuvitenda.
Hebu jiulize swali hili: Nnape...
Umeuliza suala zuri kijana lakini arguments zako bado hazina mashiko. M/kiti wenu mbowe alishasema aliyejiunga leo jana hana tofauti na aliyejiunga mwaka 2008 au mwaka 1993. Kuwa flexible. We need NUMBERS
Mimi ni mpita njia tu lakini ni vema unapojaribu kumchafua mtu uwe mkweli kwa kile unachokisema. Nilidhani watu huku ni CRITICAL THINKERS kumbe kuna wengine kama wendawazimu tu.
Mimi ni mpita njia tu lakini ni vema unapojaribu kumchafua mtu uwe mkweli kwa kile unachokisema. Nilidhani watu huku ni CRITICAL THINKERS kumbe kuna wengine kama wendawazimu tu.
Nimepokea ujumbe kupitia whatsapp ukisema sasa Lowassa rasmi chadema na baadae kuingia ukawa kama mgombea urais. Hii kwa upande wangu itakuwa ni historia ya aina yake na suala la kampeni litakuwa gumzo kubwa. Nazidi kujiuliza je; ccm watakuwa tayari kuona kada wao anawatesa na kumwacha aogeleee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.