Recent content by planexboi

  1. planexboi

    JamiiForums Tanzania Tabora: Karani wa Sensa Ajinyonga

    mkuu huko unapopasemea umeshawahi kwenda ??.au kuna waliowahi kufa wakafufuka ndo wakaja na elimu akhera. kuelezea kitu ambacho ww mwnyew hujawah fika huo ni uhuni tu.
  2. planexboi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na msemo wa "Sipendi mwanaume mweupe"

    Natumaini mko salama Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe. Kwa maana nyingine wanatuaminisha sisi weusi ndo tupo kwenye chat. Cha ajabu hao hao wanawake ukipiga nao picha wataweka kila aina ya...
  3. planexboi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuzidiwa (homa) Kali nyakati za usiku

    At night, there is less cortisol in your blood. As a result, your white blood cells readily detect and fight infections in your body at this time, provoking the symptoms of the infection to surface, such as fever, congestion, chills, or sweating. Therefore, you feel sicker during the night...
  4. planexboi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuzidiwa (homa) Kali nyakati za usiku

    hamjamuelewa mtoa mada,anauliza utofauti uliopo kati ya mchana na usiku mtu anapokuwa anaumwa. (mgonjwa) kwa nn mchana anakuwa anajisikia vzr kimtindo ila ikifika usiku anazidiwa. hilo swal halitofautian sana na mtu akuulize kwa nn mgonjwa akijianika juani anakuwa fresh kimtindo ila...
  5. planexboi

    JamiiForums Tanzania YouTube kuondoa Maudhui yanayosababisha taharuki kati ya Russia na Ukraine

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  6. planexboi

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kubadili vioo vya simu ya mke wangu kisa mtoto

    baada ya miaka mitatu zinaanza story za (mke na shoga ake) shogaake.umewezaje kumuaminisha kuwa huyo mtoto ni wakwake huyo mke.acha tu mungu mkubwa NATANIA.
  7. planexboi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kum "cheat" mke wangu, niko tofauti na wanaume wengine

    mkuu lengo lako unataka twende motoni pekeyetu,sio vizuri
  8. planexboi

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    mkuu wewe sio mpenzi wa mpira huwez kuelewa
  9. planexboi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

    mkuu kwa wale wasiokuwa chura inakuwaje hapo
  10. planexboi

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    pia kingereza cha mwenye hela kinakuwa soft kidgo kuliko cha kapuku
  11. planexboi

    JamiiForums Tanzania Fahamu degere wanavyoweza kukutoa haraka kimaisha

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. planexboi

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  13. planexboi

    JamiiForums Tanzania Sasa ninaelewa kwanini watu hufikia hatua ya kujitoa uhai

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  14. planexboi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

    UPDATE huyu mwanamke leo jion nimeongea nae kwa kina sana ,kwa aibu kubwa amekiri na ametubu kuwa hatorudia . (nimembananisha maswali ya mitego hadi amekiri kutembea na alex siku 4 kabla ya mimi kurudi)nadhan amekiri kwa kuhofia kuachana nimekaa kwa muda wa takribani dk 15 nikitafakari juu ya...
  15. planexboi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

    mimi jina langu ni la kilugha kwa hyo ni ngum kusema alikosea kutamka
Back
Top Bottom