Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi..
Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa..
Sasa watumiaji wa hii bidhaa mje mtupe mrejesho kuhusiana na gari Moshi hilii
Mrejesho..
Bda ya kufika KKOO, nimekuta kazi mbalimbali..
Moja ya kazi hizo nimekuita maeneo ya Gerezani ni..
Godown la majora . Aise hii ni kazi ngumu. Ngumu kweli kweli..
Yani mnapanga majora kama marobot. Pesa Kiduchu #Tsh5000 peke e. Kazi mnaanza asubuhi paka usiku. Aiseeee...
Mkuu nimezunguka viwanda vinavyopatikana temeke pasipo matumajni yeyote..
Ma Superviser wanataka Pesa na mie sina kitu..
Kama itakupendeza, ninaomba A B C za huko #Kebs
Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu..
Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA
Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee.
Eehh Mungu unisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.