Recent content by PJS

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu ndani ya Songea

    Mapambano mwanzo mwisho ya ukombozi,wakati Zitto mshirikina,na kundi lake wanapambana kuibomoa chadema,nyie makamanda endeleeni kupambana kukijenga chama
  2. P

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Hakuna mtu anayeweza kuamini ujinga wako uliouleta humu jamvini,doctor Slaa ni mwiba kwenu,mnatamani kuwa kama yeye hamuwezi,sisi watanzania tunamuamini Dr slaa na kumpenda,wewe ni mganga njaa tu,waliokutuma kuja kupost humu ndani wanakusumbua tu na wanakuona wewe ni kichaa mana hata wao...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa CCM Ifakara afariki dunia!

    Bwana akuweke sehemu atakayo yeye mwenyewe,ni muda wa kwenda moja kwa moja Ifakara kwa sisi Chadema kulichukua jimbo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa Makuyuni-Monduli (CCM) afariki Dunia

    Rest in piece man,tujipange chadema kuchukua kata hyo.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    Wana Arusha tunajivunia kuwa na mbunge kama Mh lema,asante Mungu kwa kumleta Lema duniani,tunamshukuru mama yako na baba yako kukuleta dunia! Tunakutakia maisha marefu Lema
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Lema afunguka, asema bora afukuzwe kazi!

    Sisi wanajeshi tupo wengi sana tunaiunga mkono Chadema,mana maisha yetu magumu,wanajaliwa na serikali ni wale wa vyeo vya juu makanali na wanadhimu wa jeshi.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Should CHADEMA Fire Zitto?

    Zitto ni mshirikina sana,ni aibu kwa msomi kama yeye kuamini uchawi,inanifanya niamini kuwa zitto ni msomi ila hajaelimika,pili zitto amekuwa akijifanya yeye kuwa anajua zaidi kuliko yoyote ndani ya chama na siku zote amekuwa akienda kinyume na chama,ZITTO ni wakufukuza kabisa ndani ya Chadema...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    Sisi wanajeshi tupo wengi sana chadema,na tunaipenda chadema na tupo tayari kwa lolote lile.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

    Zitto ni mnafiki,msaliti ndani ya chama,ni wakufukuza kabisa hana lolote,mnafiki mkubwa Zitto
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

    Tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu,wao wanapesa CCM sisi Chadema tunaMUNGU tunayempigania
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

    Zitto kabwe katumia njia zote kukifuruga chama kashindwa,kaa na utajiri wako na dharau zako,we utakufa chadema itabaki,wewe ni mamluki mkubwa katika chama chetu cha Chadema
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

    Safi sana,hao wote wanaosaliti chama ni kuwafukuza
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

    Safi sana,hao wote wanaosaliti chama ni kuwafukuza
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

    Mchange,zitto kabwe,nyie ni wanafiki katika chama chetu,Chadema mliikuta na mtaiacha,na mjue hamna wafuasi wanaowaunga mkono\. Watanzania wana elimu kubwa sana,wanajua kila kitu,na endeleeni na ushirikina wenu we na Zitto,sisi tunamwamini Mungu! Its shame to Zitto to say ameaga kigoma na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

    Dr slaa sisi watanzania tupo nyuma yako,Nape endelea kupiga kelele mana walikuzunguka ni wajinga wenzako hawana uwezo wa kukushauri ju ya chama chako kitaondoa umaskini vipi wa watanzania,umekalia kufuga tumbo na kujicream.
Back
Top Bottom