Recent content by Pjmazengo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni vipi naweza kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu, NIMR au TBS?

    kama una sehem kati ya hizo unakimlango kidogo mkuu, nipe uelekeo ili nijiongeze mkuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    kwa level kama yangu ICT afisa II?
  3. P

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Vip masilahi ya TANAPA pakoje mkuu
  4. P

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Nashukru mkuu, mi niliko nalipwa sh. 1.9 hamna safari na hamna posho, hiyo ni gross kabla ya mapato
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni vipi naweza kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu, NIMR au TBS?

    Mkuu mimi may 2025 nakamilisha miaka 4 kwenye kituo cha kazi, lakini niko mamlaka ya maji na sina cheki namba mamlaka zote hazina hizo chek na. ndo tumeanza tumepewa cheki namba za mfano za uongo uongo, wanaita dammy cheki namba, nahitaji kuhama niende TRA, TBS, eGA, TCRA AU TANAPA. Mimi ni ict...
  6. P

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Mkuu vip kuhusu mamlaka za maji kama dawasa, mbeuwasa, Moruwasa mishahara Yao vip ni shilling ngapi, na je ? Iko sawa au ni tofauti katika kila mamlaka?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchukiwa ni mambo kama haya yanachangia

    naomba jamaa utusaidie kwenye mamlaka za maji ict afisa II ni kiasi gani kwa mwenzi tunasaidiana na kuelimishana pia
  9. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchukiwa ni mambo kama haya yanachangia

    naomba jamaa utusaidie kwenye mamlaka za maji ict afisa II ni kiasi gani kwa mwenzi tunasaidiana na kuelimishana pia
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    kweli kabsa aisee na TRA 2.3 ukiwa unaanza, vip mamlaka za maji kama moruwasa, dawasa, mbeuwasa na zingine ICT afisa II anaanza na ngapi chief?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    naomba jamaa utusaidie kwenye mamlaka za maji ict afisa II ni kiasi gani kwa mwenzi tunasaidiana na kuelimishana pia
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira: Nina elimu ya degree ya Computer science

    Namba yangu ya simu ni 0673403522 tunaweza kuwasiliana pia kupitia simu maana sina sanduku langu la barua la binafisi ndugu yangu.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira: Nina elimu ya degree ya Computer science

    Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza kwenye jukwaa hili kwakuwa naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na wenye connection mbalimbali. Umri wangu ni Miaka 29 Ni mkazi wa Dar es Salaam Nimesoma Bachelor in computer science, nina uzoefu katika fani hizi: -Software development (web...
  14. P

    JamiiForums Tanzania National Auditing Office of Tanzania (NAOT) kuita watu kwenye usaili

    Hahahaaaa, Haya asante sana
Back
Top Bottom