Natafuta ajira: Nina elimu ya degree ya Computer science

Pjmazengo

Member
Dec 20, 2019
25
16
Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza kwenye jukwaa hili kwakuwa naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na wenye connection mbalimbali.

Umri wangu ni Miaka 29
Ni mkazi wa Dar es Salaam
Nimesoma Bachelor in computer science, nina uzoefu katika fani hizi:

-Software development (web development)
-Database design, Development and all integrations with software .

Naomba mwenye connection au anehitaji wa fani hizo au nyingine zinazousiana na hizo awasiliane nami kwa email ifuatayo.
paschaljackson111@gmail.com
 
Kwa mtu wa computer science naomba nikushauri kitu kimoja jaribu kufanya short courses za security na ufanye course ya Certified Security Management Professional (CSMP®) inatolewa na ISIM UK gharama zao ni kama GBP 790 na mtihani unafanyia British Council,pia kuna wengine wanaitwa American Society of International Security ( ASIS) Baada ya hapo hutojuta utaanza kucheza humo kwenye mabenki na makampuni ya mawasiliano kama Security Manager, mshahara sio wa kitoto ila kwa serikalini hii haitokusaidia saaana.

Ila taasisi za serikali kama TPA,Benk nk kadharika wanaconsider pia. Vijana changamkeni fungukeni Cooperate Security inalipa sana kwa sasa. Ukishafanya hizo kozi usiombe kazi makampuni ya ulinzi omba kwenye kampuni au taasisi ambako utabaki kuwa mshauri.

Unaweza kuongeza hapo kozi ya OSHA, 1 na 2 kwa ajili ya safety, hapo unaqualify kuwa HSSE Manager.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom