Recent content by pizz15

  1. P

    JamiiForums Tanzania Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

    Kwanini usipange wewe?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Wewe una maono makubwa sana.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Vijana waliokua wanashinda kwenye Mdegree na Kujadili siasa Walalama kuhusu GPA ya 3.8

    Umeongea kitu chenye akili sana aseee, mfano mzuri tulikuwa Kwenye field juzi kuna jamaa average ya semester nne ana GPA ya 4.4 wakati Mimi nina 3.5 vyuo tofauti, lakini hakuweza kusimama na Mimi, na yeye alikiri kuwa haniwezi na vitu vingi alikuwa ananiuliza Mimi ( academically)
  4. P

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Ingia youtube tafuta command training ndio utajua kuna watu wana miili ya Chuma( ni kutokana na mafunzo).
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    Anataka kuonekana na yeye ni mkuu Wa Itifaki
  6. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Kuna siku nilimkandamiza afisa ardhi mmoja hatokuja kunisahau, watumushi dhurumati
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Hata mimi nimeliwaza hilo sana.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali izuie mapenzi muda wa kazi

    Ebu tupe hako na episod
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?

    Hapa watu wengi wanakuongelea negative Dada yangu, lakini mtu mwenye akili anajua una maanisha nini zidi ya huyo Shetani.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?

    Huyo jovin atakuwa shetani tu, maana kuna mashetani tunaishi nayo humu humu uraiani, makazini, Kwenye nyumba za ibada yapo na mengine tunapishana nayo, yeyote mwenye nia mbaya katika maisha ya mtu ni shetani+. Dada Muombe sana Mungu, awaepushie ilo shetani sijui ni la kike au la kiume
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tigo acheni uhuni wa darasa la pili B

    Hata na Mimi naona wameshanidhurumu ela yangu, nilituma ela kwa namba kimakosa nikaomba idhuhuliwe, wakasema wameshaidhuia baada ya 24hrs itarudi Kwenye account yangu lakini baada ya 48hrs nikawapigia kuulizia hakuna ela iliyorudi, wakaniambia wanafanya mawasiliano na kule nilipotuma kimakosa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 14 anayelipwa shilingi laki moja na ishirini kwa mwaka

    Hongera mleta Uzi, najua wahusika watautendea haki
  13. P

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais mama Samia Suluhu asafiri kwa ndege ya ATCL kwenda Mwanza

    Usichopenda kufanyiwa, basi na wewe usiwafanyie wenzako, hakuna anayependa majanga, Watu wamepoteza maisha, Mali zao zimeharibika lakini Watanzania pamoja na wengine wakaona watoe kile walichonacho kuwasaidia ndugu zao, kwa sababu Leo kwangu kesho kwa mtu mwingine( ila huwa hatuyaombei hayo) Leo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Shkamoo makeup!

    Umeongea kitu makini
  15. P

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinakuvutia zaidi kutoka kwa mwanamke au mwanaume?

    Napenda yule anayeweza kuvumilia pipe tu. Maana Mara nyingi huwa haifiki mwisho
Back
Top Bottom