Recent content by piusyohana77

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ombi/Wazo: Msaada kwa familia ya Mtoi

    Sisi huku shinyanga tulimpoteza kamanda wetu shelembi chama kikaahidi kumalizia nyumba yake na kusomesha watoto wake lakini hilo halijafanyika hata kidogo
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Shinyanga: Kampeni za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA uwanja wa Lubaga Joshoni

    Mbona kazi zinaendelea tu hapa shy. Kwa sasa MH Edo yuko kahama Shy hapa atakuwepo jioni
  3. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Kwahyo sio tena chadema people s power?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jaji Sinde Warioba kanishangaza

    Warioba ni mwana ccm sasa tunataka asimame jukwaa lipi? Mambo mabaya alifanyiwa na wana ccm sio ccm kwahyo ye anaumia anapoona ccm inaharibu misingi yake Ana imani na huyu anaetarajiwa ndo maana kajitokeza.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mgogoro chadema kahama washika kasi....

    Kahama wilaya au vijijini? Fafanua mkuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme kwa taarifa za habari

    Poleni arusha kwetu shinyanga mjini toka asubuhi mpaka mda huu hatuna Umeme
Back
Top Bottom