Kwa ushindi huu, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. … Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume, Wanamuziki, Wanataaluma, Mafisadi, Waganga, Waadilifu... yaani ni fulu mixi!
1 Ubunge Tanga - Omar Noor...