Recent content by Pisondo

  1. P

    Nauza rupia yenye picha simba kasimamisha mguu moja

    Weka picha Kiongozi?
  2. P

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Ha ha ha umenikumbusha mbali sana hapo panaitwa mbori
  3. P

    Huawei Y-300 inauzwa bei poa

    Ha ha ha sclin!!!
  4. P

    Huawei Y-300 inauzwa bei poa

    Weka picha mdau
  5. P

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Kwani nyerere ni mungu mpaka asikosolewe? Lisu hajakosea yuko sahihi kabisa hizi ni zama za ukweli na uwazi!
  6. P

    Ijue vizuri kampuni ya utafiti ya ipsos-synovate

    Wanawagandamiza watanzania kwa kuwalipa malipo yao ni madogo na data collector hawalipwi kwa wakati. Tafiti yao ya uongo ni kama SPEC ambayo wanaiita SHADA ambayo inabashiri hali ya siasa hapa nchini ni ya uongo mtupu kwani wanaokwenda kufanya hiyo kazi wanalipwa budget ndogo sana hivyo...
  7. P

    Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

    Huyajui maisha binafsi ya mbowe wewe kuku, habari yako yenyewe haieleweki. Unapoandika kitu unatakiwa uwe na data za kutosha. Ninachofahamu mimi mbowe ni kiongozi makini anayeongoza taasisi makini inayopigania maslahi ya watanzania na kiongozi jasiri na mzalendo wa kweli wa hili taifa.
  8. P

    NAUZA SAMSUNG GT-e2222 KWA 50,000 TU..

    Ina iwezo wa kutumia whatsap?
  9. P

    Usumbufu katika zoezi la upigaji wa picha NIDA katika kata ya Makurumla.

    Katika zoezi la kuhakiki na kupiga picha za vitambulisho vya taifa katika kata ya MAKURUMLA imekuwa ni kero kubwa afisa uhamiaji mmoja anahudumia wananchi zaidi ya mia tatu katika foleni moja hii siyo sahihi ni usumbufu mkubwa sana. Kata ya MAKURUMLA imekuwa na kero kubwa sana katika hili...
  10. P

    Nazihitaji sana noti za Zamani Tsh 100 na Tsh 200 katika kumbukumbu zangu

    Hadi mia tano ya zamani ninayo nitafute tuongee
  11. P

    Nazihitaji sana noti za Zamani Tsh 100 na Tsh 200 katika kumbukumbu zangu

    Ninayo ya sh 200 niko magomeni, nicheki no yangu ni 0714105101
  12. P

    Ijue vizuri kampuni ya utafiti ya ipsos-synovate

    Hii kampuni haiko kwa ajili ya maslahi ya watanzania,inawakandamiza watanzania,wadau mnaohusika ifuatilieni hii kampuni kwa umakini sana.
Back
Top Bottom