*MTIHANI WA UELEWA WA ELIMU YA FEDHA*
kabla sijaanza kufundisha juu ya elimu ya fedha naomba kutoa mtihani huu wa kifedha, lengo la mtihani huu Ni kujitambua wewe mwenyewe juu ya uelewa wako wa mambo ya kifedha au nafasi yako katika elimu ya fedha katika mtihani huu utakuwa ukijibu *NDIO* ...
WATU SAHIHI NI WAPI?
Ni wale ambao mnabadilishana changamoto na fursa, ambao watasababisha upige hatua.
Sio mnaokutana kwenye mambo ya kupotezeana Muda na Rasilimali nyingine, wanaofurahia anguko lako, wasio na mchango kwenye unachokifanya nk.
UTAWAJUAJE?
1.Hakikisha unamjua Kiboko yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.