Recent content by Pinokyo Nyambo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Kama wanavyosema ''mbecile trova un atro mbecile'' kwenye hoja hii Lowassa ameingaje? Kwani ukiwa mwana ccm ndo kujitoa ufahamu? Manake unarukia hoja ambazo hazina muungano kabisa! Pole sana!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    Hahaha, kumbukumba zako mbovu.... unamkumbuka Kitwanga? Mpaka sasa dunia inashuhudia kuwa watanzania wote walioimaliza nchi hii na wanaotumbuliwa na baba Jesca ni hawa hawa (ccm). Hawa ndiyo wanaopigika!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    Bw. Ben - hii ni risala ambayo ni somo kwa Mh. Lameki kujitenganisha na Mawaziri wenzake waliowahi kushika Wizara hii ambao wengi walivurunda.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Mwakyembe hata aibu huna... unaongea upumbavu... halafu unataka tukusapoti..labda huyo uliyemwadress... Naibu speaker ndiye mvumilivu wa kukusiliza!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Hahaha! Viongozi wa Tanzania bhana, Mwakyembe bhana. Hovyooo! Sasa anachoongelea nini hapa? Kama kanuni zinamruhusua na kama naibu speaker amememruhusu … haya mambo ya kuwa nje au ndani yameingiaje? Kama kanuni haikumruhusu kwa nini naibu spika amempa nafasi ya ya kutoa hotuba? Hiyo ndo hoja...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha siasa za maigizo, UKAWA hamna akidi ya kumng'oa Naibu Spika

    Namkumbuka Marehemu Mbunge Filikunjombe! Ndiyo mbunge pekee wa ccm aliyeipenda Tanzania... wengine wote ni wachumia tumbo tu. Kwenye upuuzi huu wa naibu speaker ... Deo angekuwa kwa wapinzani (kudai ang'olewe)!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi wa UDOM Kurudishwa chuo kwa awamu

    Umezidisha kitwanga naona!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe katika Mkutano wa 'Linda Demokrasia' Mbagala, Dar - Juni 5, 2016

    Haaa Ritz ... (bia bei ghali) Huyu kapata kitwanga kadhaa!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kosa kwa Rais au Mama Janeth kuomba msamaha hadharani?

    Eti wahanga wa uchaguzi? Kivipi? Huyu unayemwita fisadi Mamvi kaingiaje hapa? Huyu Mamvi ndiye aliyepanga hii programa ya watoto hawa? Mamvi ndiye aliyeratibu na kuwapokea watoto hawa? Mamvi ndiye aliyetathmini viwango vya ufaulu wao? Au wewe na baba Jesca mnataka kutuaminisha wazazi kuwa watoto...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza UKAWA kutokuwa na Imani na Naibu Spika, hawatohudhuria vikao vitakavyoongozwa nae

    Kumbe na wewe unafurahia madudu ya huyu mjinga naibu speaker? Wewe Simiyu Yetu huwa nakudharau sana!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

    Mbali na wabunge hawa wa ccm kuwa vihiyo, pia ni wanafiki, lakini zaidi ya yote wanajua kuwa usipokubaliana na maamuzi ya chama, ubunge utaota nyasi baada ya kwisha miaka mitano ya ubunge.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Nkurumah na Lumumba ndio marais bora – Askofu

    Namgojea Faiza Foxy apite kwanza ili nami nipite!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli Tulihitaji Katiba Mpya au ilikuwa ni katika Njia tu za Kumsumbua Kikwete?

    Haya ni matatizo yenu - kwani mkisali Jumapili Mungu hasikilizi maombi yenu. Ua mnadhani kuwa Mungu analala Jumapili? Mbona wengine wanasali Ijumaa - tena siku ya kazi! lakini wapo Kimya!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Chris Lukosi: Tusipotoshwe,kupungua kwa mizigo bandari ya Dsm ni mdororo wa Uchumi wa Dunia

    Chris Lukos, Christ Lukos, katika dhambi hii mimi simo. Kama umeamua kuwadanganya watanzania, anzi, kama umeamua kuwadanganya wana ccm wenzako… fanya utakayo hakuna mtu atakayekuzuia.. lakini kama utaamua kuzungumzia ukweli… ndani ya moyo wako unajua kuwa unadanganya. Naamini kuwa unawadanganya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Bashe: CCM ni waoga, wanafiki na wa kujipendekeza, hatuna sababu ya kuendelea kubaki madarakani

    "Rafudhi" inakutambulisha wewe kuwa ni msomali.. watanzania wanajua "Lafudhi".
Back
Top Bottom