Recent content by pinochet

  1. pinochet

    JamiiForums Tanzania TFF yaingiza mguu rasmi sakata la Yanga, yamtaka Katibu Mkuu aonyeshe mkataba

    Kanjubai anataka 10 kinyume na hapo hatoi mpunga, na anajua ndani ya miaka 10 amerudisha pesa yake na faida kibao, Hakuna muhindi fala
  2. pinochet

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa katika VPL; Takwimu zinaongea.

    Hujaeleweka mkuu, au unamaanisha kutoka nje ya Dar??? Kama za ugenini kashacheza mbili...............nyie ndo wale mkiulizwa uwanjani kuna wachezaji wangapi wanacheza unajibu haraka 22, huku ukisahau mwamuzi wa kati na wasaidizi..........
  3. pinochet

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya kupoteza vyeti kwenye magazeti yanazidi kuongezeka

    Uhakiki..................
  4. pinochet

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitaka bodi ya Pamba kuhamia mikoa inayolima Pamba la sivyo watakuwa wamejifukuzisha!

    Bodi ya Korosho ipo Mtwara, nafikiri ipo sehemu sahihi
  5. pinochet

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

    JK yupo very cautious, anajua kinachokuja kutokea mbeleni, alisema mtanikumbuka, miezi nane tu, kila kitu utata mtupu
  6. pinochet

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

    Mkuu hiyo ni kweli kabisa.......sasa yaonekana naongea na vitu ambavyo havipo kwenye ilani ya chama cake.....
  7. pinochet

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

    Jamaa ana mihemuko kweli wakati kitaa hali mbaya sana, Labda ipo siku mambo yatakuwa poa......
  8. pinochet

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma nitauza nyumba zote za Serikali Dar es Salaam

    Auze na magogoni...........
  9. pinochet

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Nahisi yule jamaa mrefu sana wa border anamdanganya.......anyway time will tell, JK was brilliant for this......
  10. pinochet

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama atoa mwezi mmoja kwa wafanyakazi wa wizara yake kuhamia Dodoma

    Muda si mrefu watu wa Dar nao wataitwa wa mikoani...... Ila nahisi kama tunakurupuka hivi...... Ila nimeota tu...... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  11. pinochet

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

    Dragnet IPO nyingi sana, hii inatoka Uingereza na siyo USA, inasambazwa na kampuni ya Juanco, Metro pia ni dawa nzuri.....nyingine ni Lamdacyhalothrin etc
  12. pinochet

    JamiiForums Tanzania UDART: Picha ya pikipiki ndani ya basi la Mwendo-kasi ni ya kutengeneza (photoshop)

    Dar Pekee ndo waanzilishi WA chips yai na mahindi ya kuchoma Kwa pilipili [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  13. pinochet

    JamiiForums Tanzania Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

    EFM wanawanyima usingizi kabisa Clouds FM
  14. pinochet

    JamiiForums Tanzania Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

    Kawahi kuandika uzi awe WA kwanza kutujuza, angetulia angetupatia habari iliyosimama
  15. pinochet

    JamiiForums Tanzania Habari ya wanandoa kutumiwa picha za ngono ni uongo

    Hahahahahaha......lazima ujenge uzio wakutoulizwa viswali vya hapa na pale
Back
Top Bottom