Recent content by pinky toto

  1. pinky toto

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    Umenvunja mbavu
  2. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Mmmh wanawake walio kwenye ndoa weng wanateseka jmn. Hpo hasira zote utahamishia kwa mke
  3. pinky toto

    JamiiForums Tanzania Ukipewa lifti ya gari usikimbilie siti ya mbele kumbe!!

    Yan nmejkuta nacheka km chizi
  4. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Pole sana. Lkn kuolewa na mwanaume mwenye watoto ni mtihan
  5. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzenu nina changamoto moja ambayo sijajua kipi cha kufanya

    Mupmbe Mungu akuepushia na hila za ibilisi. Ili kufikia ndoa kuna changamoto nying
  6. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

    Mshukuru Mungu kukujalia huo uwezo. Wengne hat baskel tu hawana
  7. pinky toto

    JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wabaya zaidi Tanzania

    Warang na wailaq umekosea Sent using Jamii Forums mobile app
  8. pinky toto

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kumuuza paka wangu

    Nmejikuta nafurahi tu. Lkn ukimuuza atasikitika. Usimchoke
  9. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pamoja na msaada wote niliompa bado anatoa wapi ujasiri wa kufanya ujinga kama huu?

    Malipo ya usaliti
  10. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana maji mengi sana, afanyeje yapungue?

    Mzuie asile vitu vnavyosababisha maji km nyanyachungu, bamia
  11. pinky toto

    JamiiForums Tanzania STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

    Hatari kweli kweli, unaweza vunja mbavu
  12. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume tutawezana kweli?

    Huyo mwanaume hapana kwakweli, mwambie naweka mtu dukan naenda mkoan kufanya kazi. Ni bora angekuzuia kufanya kaz km anakuhudumia, jisimamie. Ni mbnafs na anajipnda yy na ndugu zake. Mtu wa ivo n nyoka hta maisha ya ndoa utateseka sana. Heri kuvunja uchumba kuliko ndoa ya mateso na majuto
  13. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Pole sana bro,
  14. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataabiko ya kimaisha anayopata msaliti baada ya usaliti! Mtendwa

    Ujumbe wako umegusa maisha yangu, nmesalitiwa na mtu nilie mwamini sana. Najiona sina thaman tena, nmekonda km mti, machozi kila wakati maumivu makali moyon, kila siku yanazd. Yeye na mtu wake wanazd kupeta. Ndoa imekuwa chungu ctaman kuish,
  15. pinky toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Forever Living imeniachanisha na mke wangu

    Ukiona mume au mke kabadilika jua tayari kuna anae mpa jeuri, mapenz yanatesa sana. Nadhan hkuna kitu kinatesa na kuumiza zaid km mapenzi.
Back
Top Bottom