TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita msenge na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Humu ambao hawajaoa msiwachukulie serious wamechanganyikiwa kabisa yaani nimewaona asilimia kubwa wachache nafuu napia humu kuna mamario wengi bala eti kuna mkaka humu ammtapeli rafiki yangu ml.5 na laki 6 saivi najiibia kuingia kwetu.
Mwingine sijamwona ananiomba nimtumie vocha yaani humu asilimia kubwa wanapenda kutunzwa nawewe unawatoto usingemkubalia umuhonge upweke sio sababu yakuwa mapenzi yakweli hadi unahonga mwanaume .
Ukiona mwanaume haelekei basi kimbia .
Hamjaoana unaenda kuishi naye hujamchunguza enough mmepatana mitandaoni ish jamani pole mwaya kumwagika kwa maji sio mbaya mbaya nikurudia kuyamwaga tena ninani nimchambe hana haya huyu punguani asiye na akili kazi kulelewa kama mwanamke loh hana hata haya mpenda cha bure utageuzwa sahani lakulia pilau shuwaini.
 
Pole sana Mrembo.
Nilikuambia uje kwangu, ukagoma kwa kuwa nimepanga sijajenga. Tungekuwa wawili tungeshasimamisha yakwetu.
Sasa, umekutana na mwenye nyumba yake, masimango kila kukicha.
Nilikuambia tutajenga tu usijali, ukabisha, kumbe jamaa alikuwa anakuzuzua?

Anyway, pole sana dada.
Wewe ni mwongo mwongo mpaka nikakublock pm mwongo
 
Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita msenge na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Pole sana.
 
Huyo Dada ana matatizo yake tu hata hivyo umeskia one side of the story. Wanaume walio na watoto sio changamoto ila wanawake sasa ndo pasua kichwa
Pole sana. Lkn kuolewa na mwanaume mwenye watoto ni mtihan
 
Post ya 2011 ulimwacha mmeo baada ya kumpata mme wa mtu humu JF,angalia ulivyo mjinga umemkimbia mmeo wakati ule unamsifia huyu sasa na huku yamekukuta
 
Back
Top Bottom