Mtazamo mzuri sana.
Nami naona sahihi sana kuziacha wilaya zijiendeshe, serikali kuu iwe regulatory organ vitu visije vika escalate.
Viongozi wachaguliwe, na mfumo wa kuwawajibisha uwe rahisi.
Hwa mnanifurahisha.
Mnabishania dini kana kwamba zenu. Kumbe za kuja tu,
Ivi nyie mlishawai fikiria mngekuwa mmezaliwa mkakuta familia zenu ni dini tofauti na ulionayo sasa, ungekuwa kada kama ulivyo sasa sema kwa dini nyingine.
Tusijitese namna hiii.
Kitabu chake bado sanaaaaa. Ukikitoa sasaivi itabidi utoe na sehemu ya pili ya kitabu baada ya yeye kufariki (kama atafariki) maana kuna masomo mengi sana bado anayaendeleza
Maandalizi yapo. Huwaoni wakina nape wako pale wametulia???
Na mwenye kazi yake anaweka watu wake anao waamini kuendesha hiyo taasisi ambayo imekuwa familia .
Easterners ni magenius kitambo. Na long game ndio jambo lao.
Usifikiri russia imeshindwa kumaliza vita na ukraine. Ni mchezo tu.
Awali Russia ilikuwa inauza dolla na kununua gold. Sasa naona anaendeleza kufanya hivyo, hivi sasa akitumia vikwazo kuwa fanya wanunue ruble na kuipandisha dhamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.