Recent content by Pima mwenyewe

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli: Nyumba iliyozuia mradi mkubwa wa Maji Dar yabomolewa

    Lete habari kamili
  2. P

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Hizo sasa hasira za mkizi. Kanywe maji ya moto halafu uoge ya baridi utarelax. Hata marekani hawatumii bil 2 per day
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Na wewe nawe ufanyiwe xray, mri na Ct tugundue shida zako
  4. P

    JamiiForums Tanzania The next best five years to be spent on witch hunt

    Acha ujinga. This theory doesn't apply to Tanzania. Ukiaminiwa Ukifanya ujinga utanyolewa tu. Mbona hiyo principle hamu apply kwenye ndoa zenu kila siku zinavunjika? Magufuli songa mbele watu kama hawa wamekariri vitabu vya ulaya. Shiiit
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Sana Dr. Slaa Sikujua Unachojua Ndo Mana Nilikupinga Kwa Nguvu Zote!

    Hahaaaaaaaa baba nani eti?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afuta sherehe za maazimisho ya siku ya UKIMWI, fedha zinunue dawa...

    Teh teh teh umenipa raha rafiki
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ziara za kushutikiza za Magufuli ziliishia wapi?

    Wewe mpk sikujua kama wewe ni kimeo. Yani unataka rais afanye jambo hilo hilo mwaka mzima? Hujui kuwa kuonyesha mfano ni tija ili wengine waendeleze? Usiku mwema ngoja nikiamka kesho nitakupasha vizuri zaidi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Toba!!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Magufuli ameanza na hatua nzuri lakini adhibitiwe

    Kudadadek mshamba wewe yale ni macho ya kazi tu. Jione kwanza sijui ukoje tu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mliochagua Wabunge na Madiwani wa vyama vya upinzani, je kuna nafuu yoyote mnapata?

    Nani kakwambia lizabon anatetea nchi kisa apate u Dc? Lizaboni anajitambua siyo kama wewe mbabaishaji teh teh
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mliochagua Wabunge na Madiwani wa vyama vya upinzani, je kuna nafuu yoyote mnapata?

    Twi Twi Twi Twi umempasha hatari
  12. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, achana na lugha za kufunda, anza na kasi ya Hapa Kazi Tu

    Hohoho ahaaaa haaaaa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Sefue: Watumishi wa umma kuanza kuvaa sare zenye majina yao wawapo kazini

    Sare za suruali, skirt au shati? ??? Unakimbia?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Wewe unajua kuna aina ngapi za manunuzi?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Naunga mkono hoja. Taifa hili limekuwa fujo tupu kila kona kanisa na matarumbeta usiku kucha. Hivi hakuna sheria ya makelele? Huwezi kuta vitu kama hivi nchi zilizoendelea eti kwa kusali kwako unakwaza wengine wasilale usingizi. Mimi mkristo lakini siamini katika fujo, kelele na kuwa kero kwa...
Back
Top Bottom