Recent content by pilusonyo

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

    umejitoa mhanga haswaa, haya ujaaliwe kupata utakacho, ila tu kama ukimpata hapa nakushauri usiwe gwiji wa kuvua chupi na kiacha kikojoleo kichezewe kirahisi uwe makini sana mdogo wangu baadhi ya wanaume ni njaa tu zinawasumbua , ukimpata atakaye ridhika na wewe nawe ukaridhika naye basi afate...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Pilipili,vitunguu swaumu na peanut butter znapatikana

    Hongera sana mkuu, unatia moyo sana, tafuta mtu msaidiane katika masoko mpite mashuleni na maofisini pia tafuta soko kwenye super mrket
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ukuzaji wa vifaranga (kuku) sehemu isiyo na umeme

    Kwanza nikupongeze sana mkuu kwa hatua muhimu za kujikomboa kimaisha na pia utumwa wa presha za kuajiriwa, kimsingi huwa kuna njia nyingi tu labda nikwambie mbili kuna moja ya kutumia chemli unazifunga vema na kuziacha ziwape joto hivyo mafuta ya taa yanahitajika njia nyingine ni kuweka jiko la...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Moyo Traders: Wasambazaji wa samaki wabichi Aina ya Kamongo

    haaahaaa na hao ni kamongo haahaaa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wape neno moja hawa majembe fake

    wapigaji wakubwa, yule kiongozi wa korea angekua bongo wasingekua wanapumua hao
  6. P

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    anataka amfunike pinda ili yeye apate sifa na umaarufu zaidi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Inaweza ikawa ndio sababu?

    yah upo makini mkuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

    kama serikali ipo serious mbona isiwaahughulikie waliotoa kibali na toka msingi unawekwa wao kimya tu huo ni uka toon
  9. P

    JamiiForums Tanzania Inaweza ikawa ndio sababu?

    nimeona mkuu namshangaa #@john mtazamo #@anavyo panic wakati kwa ulaya michezo hiyo kawaida tu na ishahalalishwa.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Inaweza ikawa ndio sababu?

    mkuu mbona kama umekua mkali hivi, kwa haiwezi kuwa hivo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiajiri kwa mtaji wa milion 1

    Singida wanajitahidi sana kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji nadhani kwa wenyeji wa mkoa kama dodoma wangewekeza VIZURI kwa ufugaji huo wangekua na fursa kubwa sana pia.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiajiri kwa mtaji wa milion 1

    ukishughulika vema na huyu ndege anaitwa kuku hauta juta kamwe! hakikisha unampeleka Dar.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 56% ya watoto umri chini ya miaka mitano wamedumaa

    UDOM,SAINT JOHN na chuo cha mipango hivi wana mchango gani katika hilo
  14. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 56% ya watoto umri chini ya miaka mitano wamedumaa

    Hata iweje Dar haiwezi kua asilimia 56 mkuu......dodoma yahitaji udhalula
Back
Top Bottom