Mjengoni gani tena.....hapana mi mbona nmekupa namba yangu boss nkaona kama w itakuwa shida kunipa yako nkakuomba ww ndo ujicheki unajua hz text naona zinakuwa ngumu kueleza kila jambo ndo maana naona nirahis kumpata mtu na kuongea nae moja kwa moja unapata kujua kwa undani
Amin kila biashara inafaida kulingana na location iliyopo tafsir ni kwamba mtaji huo unaweza ukawamkubwa sana au ni mdogo sana kulingana na mazingira yako ya kaz usishangae mtu alikuwa na mtaj wa laki2 katusua mamilion ya pesa na mwingine alikuwa na mtaji wa mil5 ukapolomoka kabisa hii...
Boss naomba namba yako ya simu please au Kuna yeyote mwenye namba ya Ndg. Mwasalemba naomba anisaidie.....tuliona jambo jema kuanzisha group whatsapp ili tubadilishane mawazo lakini imekuwa kimya sana.....naomba ntafutwe kwa namba 0786623636 mnisaidie namba ya mwasalemba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.