Recent content by Pilitoni

  1. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je, bado hajakidhi vigezo au kuna ya gizani tusiyoyajua?

    Wapi alifanyia extraction ya material yaliyotumika kutengeneza hiyo tuktuk yake au yaleyale ya vyuma chakavu
  2. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Dada wa kazi ameathirika na anatumia dawa za kufubaza UKIMWI. Je, ni hatari kuwa naye?

    Simnyanyapai ila mrudishe kwao.Siyo kila jibu lazima liwe na sababu huu siyo mtihani ila tu mrudishe kwao huyo ni binadamu na unajua binadamu tulivyo wengine ni roho mbaya kweli kweli na unajua maisha yalivyo hamuwezi kuwa sawa kila siku kuna siku unaweza kumuudhi au akakuudhi wewe reaction...
  3. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huko CCM mwenye uwezo wa kuiamsha serikali ifanye kazi ni Kassim Majaliwa pekee

    Only two Lukuvi & Makonda.
  4. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Tutarajie maafa makubwa maandamano ya CHADEMA ya Sep 23?

    Hakuna cha maandamano wala nini, ni upumbavu wa chadema tu
  5. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

    waandamane waone
  6. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

    Prof yuko sawa mbona kinachomliza ni kuhusu marehemu mke wake, wewe boya la wapi
  7. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Chadema yatikisa Nkasi Kaskazini, Umati Mkubwa wajitokeza

    Chadema ovyo tu
  8. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

    Hadi jtatu muwe na subira
  9. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kumjua zaidi Siti Binti Saad

    Asili yake ni mnyamwezi wa Tabora
  10. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    Tofautisha kati ya NHIF ya JPM na ile ya JK na watangulizi wake, leo jitu linaongezewa kalaki tu linapiga kelele kama zuzu linasahau kila kitu. Wabongo ni bongolala kweli
  11. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    2025 watamkumbuka zaidi
Back
Top Bottom