Recent content by Pilipili kali

  1. Pilipili kali

    Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

    Aliekupa ww usafiri ndio huyo huyo aliemnyima mwengine tafuta cha kuongea hizo za kwako ni zarau maisha hatufanani Pia usimcheke mamba wakati hujavuka mto huwezi jua Mungu kakupa mali kukuangalia tu utashukuru utakufuru, hatima yake unakufuru mrudie mola wako
  2. Pilipili kali

    Msaada hp 250 g5 sound problem

    Cha msingi angalia hp yao professional ni window gani? Nakushauri Ondoa 10 weka window 7 kisha ulete mrejesho hapa!!!
  3. Pilipili kali

    Ujuzi hauzeeki

    Cost ya vifaa inategemea na ulipo vinauzwaje huko unapoishi Vifaa kwa kuanzia uwe na computer et list HDD 1TB Hot air gun Gun Digital multimeter Tools Ukiungwa na group utazidi kujua ni ni nn na nn vyengine vyakuwa navyo
  4. Pilipili kali

    Ujuzi hauzeeki

    Kwa anae hitaji ufundi wa simu anione soon class itaanza smartphone na zile za Batan ppt ulipo class itakufika na ufundi wa simu una pande mbili hardware na software Hardware ni repair ya divice yenyewe simu haiwaki imeingia maji, kubadilisha kioo, kutoa IC nakujua njia za kujua ttz ktk simu...
  5. Pilipili kali

    Msaada tafadhali:Naoa mwaka huu Ila kwao wanasema mke abaki Tanzania nisije naye Singapore

    Pole sana haina haja ya kuoa muache tu aishi kwao Tanzania
  6. Pilipili kali

    Kuna tofauti gani kati ya computer science, IT na ICT?

    Mkuu kozi hizi zinafanana ila ndani ya kozi hizi kuna categories tofauti ikiwe website design, programming, network, n.k ila ukisoma kozi huwezi kuwa proffenal moja kwa moja nakushauri tafuta kimoja kati vitu vilokuwemo ktk IT au ICT ukasome km ni CCNA networking IT essentially Website design...
  7. Pilipili kali

    Mwigulu Nchemba ashindwa kutaja sheria inayowapa mamlaka Polisi kushikilia mtuhumiwa zaidi ya 24hrs

    Sheria ya kumshikilia mtu zaidi ya masaa 24 ipo ila inategemeana kosa yapo makosa ambayo hayana dhamana
  8. Pilipili kali

    Msaada: Majina ya kiume na ya kike yanayoanzia na J

    Yapo ya dini touti cjui unataka ya dini gani?
Back
Top Bottom