Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na watu wembamba.
Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa...
Heshima kwenu brothers and sisters,, Safari yangu ya Angaza inavyozidi kukaribia some Bad memories zinarudi kichwani zinazoninyima raha sana na sana... Zaidi ya mara kadhaa ya relation ship nimegundua Wanawake ndo watu wa kwanza kupinga matumizi ya mpira baada ya muda fulani wa Relationship...
Nadhani kila mtu hasa wasomi (wahitimu) wanandoto za kuoa na kuolewa labda na msomi mwenza au raia mwingine tu wa kitaa (BIG UP). Napenda kutoa mtazamo tu juu ya hili, usikurupuke na kufuata mkumbo wa wengine, itakula kwako. Fanya hili .tenga kipindi labda 2-3 years au zaidi ukiweza na...
NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA 2
Akanivuta mkono kisha akatoa kitu cha ajabu kilichofanya nishtuke.
Nikajikuta jasho jingi likinitoka pale kitandani, nikawa najiuliza kuwa ni ndoto ya aina gani na inamaanisha kitu gani? Je huyo mwanaume mzuri sana kushinda Sam wangu ni nani?
Hapo ndio...
Ilikuwa kwenye mida ya saa mbili usiku wakati tumekaaa kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakati nakula simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni mpenzi wangu Sam ila nikashindwa kunyanyuka kwenda kupokea kwani mama alikuwa ananiangalia sana ikabidi nibonyeze kitufye cha kimya (silence).
Mama kumbe...
jana niliweka laki moja chelsia wanashinda nikapata laki nne na nusu iviii...niliweka mechi moja thanks chelsia na meridian..weekend itakuwa nzuri xanah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.