Hapana, lakini vision iliyonayo inanufaisha watu gani?
Unaweza kuniambia kwanini serikali imezuia mapato yanayo tokana na madini kuhakikiwa na CAG? Wanaficha nini kama kweli mapato hayo ni kwaajiri ya kumsaidia mwananchi?
Hakuna sababu ya kuingia hasara ya kutengeneza vitambulisho ambavyo vinaweza kupelekea rushwa kuongezeka, mshauri arudishe kodi ya kichwa TZS 20000 KWA MWAKA! watu waanze tena kulala mapangoni!!!
Hakuna namna yoyote ya kupata maendeleo bila kuwa na uongozi bora! nasema hivi nikiwa sina maana ya kwamba uongozi uliopo si bora! Lakini mwaka na miaka ambayo tutapata kiongozi amabaye atatusaidia kuyafanya haya;
1. kuimarisha mifumo yetu ya kiuongozi. yaani Serikali, mahakama na bunge kila...
Nashukuru umenisaidia kwa taarifa! nimeweza kusikiliza mwenyewe!
machachenayoweza kusema!!
1.assassination attempt! inamaana mauaji ya Lisu yaliyotaka kufanyika niyakisiasa, hili linakubalika kwa pande zote, Lisu na Steve!
kama ndivyo hawa wenye mgogoro wa kisiasa na Lisu kwa kiwango cha kutaka...
Kwahiyo ulitaka wakati Mh Tundulisu anapigwa lisasi achukue video kama ushahidi!!!
Hivi kunamtu anahitajiushahidi wa watu kuuawa amakupotea TZ? Serikali ndiyo yenye dhamana ya kulinda watu na mali zao, kama imeacha ombwe lakutoa ama kufanya uchunguzi juu ya uovu hii lawama abebe nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.