Ni vyema watanzania wote wenye akili timamu kumpuuza huyu jamaa,,,Mimi sisali hilo kanisa lakini nina historia na siasa na watu WA tz kuwachafua watumishi kupitia vyombo vya habar.walimuchafuaga baba ynngu mwingira na sasa gwajima kesho sijui atafata nn.....Kama unahisi yule hakufa tafuta kanisa...
Serikali toka Jana ilipata taarifa cha ajabu hakuna maamuzi yoyote yaliyoweza kuchukuliwa,,kiukweli hakuna serikali dhaifu Sana duniani Kama ya kikwete sijui serikali Ina idara za usalama wa taifa kupata taarifa za aina gani mpka madhara yanatokea,,kikwete nakuombea uondoke haraka aiseee
Gwajima atakupalia we lofa...we kwanza umetukanwa Mara ngapi na Kama bado basi ---- haya tuone utashitaki.ugaidi ni kitu kingine bhana acha kulinganisha umasikin wa USA na kwenu lufiji bhana hvo vituo vifate utaratibu tuu wala havitafungwa
Unajua Leo hii mtu anaweza akamtukana gwajima kwa sababu kubwa tano1,chuki ya udini na dhehebu 2.kuwa na urafiki na shetani mf mchawi 3.wivu wa mafanikio ya Mch gwajima 4.mtu kutokuwa na taarifa za ukweli na kuamua bila kufikiri 5.polis na wanasiasa walio humu jf.LAKINI Leo hii JG anaonekana...
Polisi mmeshindwa kuyadhibiti ma alshabab mnahamia kwa watu WA mngu hakika kova siku zako zimepimwa,umeonekana umepungua na amepewa mwenzako,,."""menemene tekeli na pelesi""
Safi Sana then makonda usiwe Kama zitto bdo kijana Mdgo anza mwanzo vizur Kama wenzio akina January makamba,John mnyika la sivyo utapotea Kama kumbikumbi ndani ya siasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.