Ninfefurahi zaidi endapo wahindi wote wangeshuka ktk national housing wakapange ktk apartment wajengazo wahindi wenzao ili walipe kwa izo dola na sie wabongo ndio tukae ktk uzo national housing
Mm naona kuna umuhimu wa kuweka customer care ya serikali ya simu kama ile ya airtel au vodacom au tigo tuwe tunapiga muda wowote mambo yawasilishwe wiazara husika ili waziri ajue anaanzia wapi anaishia wapi awe na full info
Wakimwekea vikwazo anapandisha bei ya gesi na vijinchi visivyojielewa futa upepo anafungia kabisa. Wanakuwa wanamsumbua mama wa watu wa Ujerumani kwenda kuomba mara kwa mara kwa Putin. Ukiwa nacho unalinga sijui tu sisi Tanzania tunashindiwa nn kuja kupigiwa magoti mali zote tulizonazo
Kuna kitu inaitwa Erolink inaboa sanaaaa. Ni jibu lililoiva na linahitaji kutumbuliwa. Linanyonya sana vijana wagundu anaeweza fuatilia hilo ajaribu fuatilia wapo voda
Siku ambayo huyu rais wa urusi wa sasa Vladimir Vladimorovich Putin akifa wamarekani na washirika wao watafanya sphere he. Ni umiza kichwa kwao sana, namkubali sana huyu jamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.