Recent content by pig

  1. P

    JK ateua wakuu wa TIRDO, NGORONGORO na MAKUMBUSHO ya TAIFA

    Nakutakia kazi njema Madundo Mtambo kazi kwako Tirdo ionekane kwa Mtanzania wa kijijin ajikwamue kiuchumi
  2. P

    Ad hoc cabinet meeting tommorrow morning

    otesha mti mwenyewe palilia acha ukue ukiingiza mizizi kwenye baraza ya nyumba yako kaa vikao na familia angalia namna ya kuufanya kwa natarajio utarekebika mhuuuu......
  3. P

    Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

    kweli kazi mbaya ukiwanayo
  4. P

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Hesabu ndogo. Waislamu wafanye sensa yao wenyewe na wakiristu hivo hivo wasio na dini wafanye waongozwe na wanaharakati then kila upande uwe na jibu lake kwa matumizi yake. Ila isiwe serekali tafadhali.
  5. P

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    hivi mkikataa kuhesabiwa itasaidia nin Kesho kila dini itattaka watu wake wahesabiwe baada ya hapo tutaanza kutambuana kwa dini zetu kitu ambacho si vema. leo hii tanzania invita ya wadhulumu uchumi ambao hadi leo wanailetea nchi shida eg migodini, umeme,maliasili etc. nyie nduguzetu mnaleta...
  6. P

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Tumefanya juhudi za chinichini kupambana na serikali na kanisa hadi hapa tulipofika. Hapa tulipo leo ni safari iliyotuchukua miaka 40. sawa yamkini hizo ndizo jitihada za kuchoma makanisa na uamsho.
  7. P

    Maaskofu TEC: Tulitahadharisha yanayotoea

    Yaani kama sio hizo taasisi nchi hii ingekuwa na kazi kubwa kujijenga Angalia MASHULE NA MAHOSIPTALI WALIYOJENGA NA KUIACHIA SERIKALI.PIA BIANAFSI SIKUONA WALIPOKOSEA TEC KUITAHADHARISHA SERIKALI NA MAMBO YALIOTOKEA. LAKINI PIA TEC HAWAKUSEMA NI CHAGUO LA MUNGU NA HAWATASEMA HIVO KWA YEYOTE AJAE...
  8. P

    Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    lakini hata hiyo ni kubwa. ujue huwezi hata kuilinganisha na ya mganga wa kienyeji au muuza karanga
  9. P

    Mchaga na Mbuzi (Ndafu)

    duu unautani na hao wato
Back
Top Bottom