Kwa Sasa eneo Hilo ni lami ,Kwa ufupi Sasa hivi kigoma to mwanza ni lami TU.
Kigoma to dar zmebaki chini ya kilometer 10 ambazo mkandarasi anamalzia .
Barabara iliyobaki ni kasulu to uvinza ,hiyo mama akiahidi katka muhula wa pili kura yangu anayo
Kuna mambo ni juhudi za watu binafsi na zingne ni za serkali ,hebu fikiria Kama kuna barabara imejengwa na watu wa Kanda huska au hospital ya Kanda
Maajabu ni kwamba Kanda Kama ya ziwa kuna hospital ya Kanda ya Bugando(50% serkal 50% Catholic) bado saiv imeongezwa musoma na chato ;afu wanasiasa...
Nimekuwa nikitafakari ile kauli ya viongozi kwamba maendeleo yanapelekwa kwa usawa katka mikoa yote bongo lkn naona Kanda ya Ziwa Magharibi imeachwa mno haswa katika taasisi na miundombinu Kama ifuatavyo
1. Barabara: Hii ndio Kanda pekee mikoa haijaunganishwa kwa lami ie...
Hakuna haja ya kukusanya mapato coz mkoa wenyewe maskini 50%,tunaelekea wapi na kizazi kijacho sijui watajivunia lipi juu yetu .I regret for Kigoma to be part of Tanzania
Akija kasulu ,halali kasulu analala Kigoma,lake Tanganyika hotel(4 star hotel) ambayo najua mbeya hakuna coz mi mwenyewe nko mbeya Rufaa juu ya solo matola
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.