Recent content by PICANOL

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    mabadiliko yana mitihani mingi UKAWA tutashinda tu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

    mmetoa tuhuma leo na leoleo mnakanusha,kwani ccm mmejipangaje?ndooorooooobo.acheni kumbwela
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

    Nape lowasa siyo saizi yako ungetulia kama wenzako huyo anaujua uovu wa ccm kuliko wewe nape
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuwe makini na wanasiasa vinginevyo tunaua taifa letu

    usihofu mrembo ukawa wataliziba hilo pengo kama lipo kweli baada ya uchaguzi mkuu
  5. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamuandalia Limbu ziara za Kigoma, Tabora, Rukwa na Katavi

    mkuu unafikili kwa kutumia msemo wa masabuli au?.hizo siasa za hukohuko lumumba walikojaa vilaza,cdm haina muda mchafu kama huo
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimetokwa na machozi kujiuzulu kwa Profesa Muhongo

    labda ulikumbuka kifo cha babu yako lakini si kwasababu ya kujiuzuru prof vuvula
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

    wasomi huwa tunaamini kwa kufanya tafiti hebu tuwekee tafiti uliyofanya kuonyesha dr wa ukweli amechuja lasivyo unajifariji tu na kufanya siku iingie hapo lumumba
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

    We nawe vuvula kama muhongo mwenyewe
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

    sijawahi kuona prof muongo kama muhongo teh teh teh teh kuna vina hapo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Siri imevuja Kutoka Zanzibar Resort: Mwigulu kung'olewa CC, JK ashinikizwa

    Kwa maccm hata kingunge huwa ni kijana kwahiyo labda anamvuto kwa vijana wa aina ya kingunge
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kati ya prof. Lipumba, James Mbatia na dk Slaa nani anafaa kupeperusha bendera ya UKAWA

    Namkubali zaidi dr slaa ila kama taratibu za kumpata mgombea zitakuwa za haki na akasimamishwa mtu mwingine mimi nitamkubali tu kwasababu lengo kubwa ni kuing'oa ccm madarakani na kwa hili tunapaswa kuwa makini tusimbague mtu yeyote atakaye simamishwa na UKAWA
  12. P

    JamiiForums Tanzania Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Ocampo four unapoteza muda tu huyo jamaa yako ugomvi wake mkubwa na Nyerere ulikuwa utajiri mkubwa alionao Lowasa usiojulikana vyanzo vyake vya mapato na mpaka leo yupo hivyo ni fisadi la kutisha nakumbuka alipokuwa waziri mkuu alivyotukamua michango ya kujenga shule za kata huku yeye na jamaa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Nakweli mi simsahau maana dada yangu pamoja na kuwa mjamzito lakini alikamatwa na kuswekwa kolokolo kwa kutotoa mchango wa ujenzi wa shule huku yeye wakati ule ndo dili lile la richimond likiwa limekolea huku akisaka dili lingine la kutengeneza mvua kutoka Thailand ila Mungu alituokoa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Inaitaji njaa kali kama yako mtoa mada kumsafisha huyo mhuni namba2 mhuni namba1 tumesha muona,nayakubali sana maono ya Jk Nyerere
Back
Top Bottom