Recent content by phrezy

  1. phrezy

    Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Dahhh si mchezo hali mbaya haya sasa ikawaje wakapata ajali hali ya hewa au
  2. phrezy

    Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Jamani kuna yoyote kaangalia tbc mda huu nasikia ajali bilali kova wapata ajali walikuwa angani wanaangalia maafa hakuna aliekufa ni kuumia kiasi jamani is it true?
  3. phrezy

    Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Dahhh miundo mbinu yetu ua kusua sua uchakachuaji mwingi sehemu ya madaraja lzm pawekewe mkazo na kujengwa tofauti daraja lzm liwe juu zaidi ya barabara ya kawaida magari yawe yanapanda na kushusha kuepusha maji kulifikia ....poleni sana!!!
  4. phrezy

    Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Sijajua hii ni Wapi ni hapo ruvu au sehemu nyingine gari la tenki la mafuta limezama
  5. phrezy

    Rihana atembeza kichapo kwa jamaa aliyemshika makalio bila hiari yake

    Hahahaa ndio akome inakera sana
  6. phrezy

    Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

    Excel......ikitoka kimahaba inanogaga sometimes poleeee....thank you nini nakshi tu na mbwembwe pata picha mpz yuko kifuani kalalia kifua we ndio unahema na moyo kudunda hatari anakupa poleeee alafu anakusafisha how will it feel .......inapendeza sanaaa ...wazee wetu zamani walikuwa.wanatumia...
  7. phrezy

    Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

    Na pole sometimes inatokeaga pia unakuta ile strugle ya raha ile mpaka unafika ukimaliza mtu anahela miguno na jasho juu sometimes inatokea ile pole ya kimahaba poleeee.......!!!!!!!huwaga ni vionjo tuu
  8. phrezy

    Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

    Thanks hunie mala.nyingi yahusika kwa wote wawili ...asante ni matokeo ya raha uliyompa pale mnapofika kwa kilele cha mlima and ur happy automatical unajikuta unasema thank you darling....ur amaizing......!!!!!
  9. phrezy

    Russian Millionaire run beating girlfriend badly looked like zombie,see picha

    Mhhhh aisee sijui hata kafanya nini...ila wanawake mda mwingine tunakwaza unaweza kukuta jamaa anakupa kila kitu unachotaka lakini unaigawaje nje kama pipi utakosa kupigwa
  10. phrezy

    Msaada wana JF,ni mimba kweli au ndo kibuti?

    Ni kweli mimba zinavituko mtu anaweza kukuchukia haswa .....ila pia kunawengine wanatake advantage kama uliwahu kumtenda au kumfanyia kitu tofauti weeee hapo ndio revenge time....nashauri ongea nae kwanza kama hatobadilika mueleze ili kunusuru mahusianobyenu basi arudi nyumbani mpaka akijifungua...
  11. phrezy

    Hodi hodi hodi....

    Thank you katavi....ntajifunza mengi humu...
  12. phrezy

    Hodi hodi hodi....

    Mimi mgeni humu ndani naomba mnipokee ......pamoja sana..... :thumbup::thumbup::thumbup:
Back
Top Bottom