Msaada wana JF,ni mimba kweli au ndo kibuti?

Msaada wana JF,ni mimba kweli au ndo kibuti?

Jamaa yangu hivyo siyo vituko vya mimba ni vituko vya shetani...Vituko vya mimba havina kulala nje wala kutukana au kuhamia chumba cha msela mwingine hapo unaonyeshwa the other side of the coin... Shutuka/Shtuka/Shituka....mapema ndg.
 
Mimba zinasingiziwa mengi, kama shetani anavosingiziwa kila kitu....
 
Mimba zina vituko kaka! nilikuwa nasafiri DODOMA-IRINGA kila weekend. Kisa anapenda niwe namuogesha.

VUMILIA!......
 
Endelea kusubiri ajifungue,
Baada ya hapo Utaona tofauti sio shetani na wala sio kibuti.
 
hiyo mimba yeye ndo wa kwanza kupata??,ana lake jambo huyo ana lolote.
 
Endelea kusubiri ajifungue,
Baada ya hapo Utaona tofauti sio shetani na wala sio kibuti.
si atakuwa ashakonda mpk ajifungue kwa vituko hivyo duh!,biinafsi ningerudi zangu huko kazinii alikokuwa jamaaa
 
Hali hii imenichosha nime jaribu kuomba ushauri kwa madaktari wengi wananiambia ni ujauzito tu siku moja yataisha yote lakini sasa ni too much .

huyu dokta aliyekushauri hivi ni nani?............ hii kitu kidaktari sijaona vitabu vyake.

halafu kuwa makini sana , nahisi hiyo mimba ulivyolazimishwa na yanayotokea inawezekana siyo yako.......... mwenye

nayo aliitosa mwanzo ila kwa sasa ameikubali na ndiyo chaguo la huyo mwanamke wako.......

Chunguza kupata uhakika na mambo yako.
 
Ni kweli mimba zinavituko mtu anaweza kukuchukia haswa .....ila pia kunawengine wanatake advantage kama uliwahu kumtenda au kumfanyia kitu tofauti weeee hapo ndio revenge time....nashauri ongea nae kwanza kama hatobadilika mueleze ili kunusuru mahusianobyenu basi arudi nyumbani mpaka akijifungua utamfuata utakuwa unaenda kumsalimia ...kama ni mimba kweli atakuwa muelewa na atakubali.
 
mimba zingine zinategemea zimeingiaje, mimba ina mbwembwe kama imeingia wajati wa kigodoro. ila pole sana, kuwa makini na marcus ipo siku mimba itataka dudu yake, nsasa sijui utamsikiliza maana inaonekana wewe huruki hapo.
 
huyu dokta aliyekushauri hivi ni nani?............ hii kitu kidaktari sijaona vitabu vyake.

halafu kuwa makini sana , nahisi hiyo mimba ulivyolazimishwa na yanayotokea inawezekana siyo yako.......... mwenye

nayo aliitosa mwanzo ila kwa sasa ameikubali na ndiyo chaguo la huyo mwanamke wako.......

Chunguza kupata uhakika na mambo yako.

kuhusu daktari aliye ni shauri ..nipindi tunapo kwenda klinic kwa kunilazimisha nami nikaa kaa chember na mdactari sio chini ya wa tatu ..hii ni True story zangu.
 
Pole sana wangu mm mwenyewe yamenikuta kwa mke wangu alivyopata mimba nyumbani kulikuwa akukaliki kabisa wangu makosa yote ya dunia nafanya mm lakini alivyojifunguwa tumerudi kama zamani vumilia tu wangu
 
Mwambie, mimi nilimchukia hadi baba yangu mzazi akiwa ndani natoka nje, akija nje naingia ndani.

Ni kutapa tapa tu, si alimuomba wakae pamoja lkn kufika ndani anasikia sivyo. Avumilie, akiweza asafiri mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom