Recent content by photo mee

  1. P

    JamiiForums Tanzania Waliopinga Ushindi wa Lema Mahakamani Arusha wajiunga CHADEMA

    hakuna kitu kama hicho musa hamisi mkangaa yupo ccm na Happynes molle yupo ccm
  2. P

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

    Lema amechanganyikiwa kwasasa maana anajua mambo siyo mambo tena
  3. P

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

    Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi. Ila mgombea wa CHADEMA God...
  4. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    kwanini ukawa wanapenda damu sana jamani kila muda wanakula vichwa tuu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hatimaye aibuka

    slaaa akija akaongea kuhusu fisadi lowasa mambo kwisha
  6. P

    JamiiForums Tanzania Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

    Shigongo kaandika ukweli Tanzania mgombea ni mmoja tuu kwasasa fisadi lowasa atulie tuu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    mazishi ni leo team Lowasa wanamwaga pesa ili lowasa ashangiliwe msibani
  8. P

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongea na Waandishi wa habari, anaendelea Vizuri

    Hapana mm nasikia mzee ndiye alianguka juzi mbowe anazuga tuu pale hospital
  9. P

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongea na Waandishi wa habari, anaendelea Vizuri

    ndugu zangu wana ukumbi naomba kuuliza kuwa aliyelazwa pale muhimbili ni mwenyekiti wetu wa ukawa au ni mgombea wetu wa ukawa ? nasikia ratiba yetu mikoani imebadilika mgombea anaenda kutibiwa kwanza Ujerumani akija ndiyo kazi ije iendeleee kama ni kweli mgombea wetu ukawa anaugua ugua mara...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

    acheni usengenyaji pinda juzi kaenda kufungua sherehe za nanenane
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Lowasa msindai mahanga nk ni makapi
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Alitaka mgawo sawa na mchagga
  13. P

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    ukiona manyoya jua kaliwa hamna chadema tena kwasasa kuna team Lowasa
  14. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    ni mwezi sasa kumekuwepo na mgawo ambao usiyoeleweka naoshauri Tanesco itangaze mgao ili kazi zetu zisiendelee kuharibika
Back
Top Bottom