Recent content by photi17

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nini Tofauti ya Home Theatre na Sond Bar?

    Watu wanasikiliza mziki bado??
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni

    Kwani anaenda kubeba zege
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

    Labda wakuoe wewe uyo mtu unayemsema hapatikani
  4. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

    Aende alafu arudi bila chochote na masters yake unayedhani karogwa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naomba niijibu hoja ya Mtume Mohamed kumuoa binti wa miaka tisa

    Umejibu kwa weledi Ila unahasira sana
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni?

    Kuna App inaitwa busbora hipo praystore nishatumia Mara mbili
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

    Kwani hii ni hadithi?.Mtu anasimulia kilichomkuta unadeal na vitu visivyobadili tatizo
  8. P

    JamiiForums Tanzania Niliomba nafasi ya masomo chuo kikuu huria mwaka uliopita. Tatizo nimekosa orientation kutokana na matatizo. Hatua gani nifuate?

    Niliomba nafasi ya masomo chuo kikuu huria mwaka uliopita kwa nafasi ya masters na Mungu alivyo mwema nimepata nafasi. Tatizo nimekosa orientation nimekosa pia uwezo wa kujiunga kwa Sasa kutokana na matatizo yaliyonikuta mwaka uliopita. Naomba mwenye ujuzi naweza kupostpone japo sijajua hatua...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu angekuwa anaongea nusu ya anavyoongea na boss wake labda mahusiano yetu yangekuwa na sura tofauti kabisa

    Leo nimemsikia wife akiongea na boss wake namna alivyokuwa anamjibu kwa heshima may be hapa nyumbani pangekuwa hata robo tu ya anavyoongea tungekuwa Bora Sana
  10. P

    JamiiForums Tanzania KERO Ruvuma Manispaa: Sehemu za Starehe wanapiga muziki bila kuwa na kibali

    Hakuna manispaa ya Ruvuma braza
  11. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Kiteto HRO anaitwa John anasema zoezi limesitishwa japo mkurugenzi alishasign barua mtoa makato kamgomea boss wake
  12. P

    JamiiForums Tanzania CHAKUHAWATA chaendelea kusajili idadi kubwa ya wanachama

    Kiteto HRO anaitwa John kasema zoezi la kuhama limesitishwa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunapotumia Simbanking kupitia Airtel tunakatwa Tsh. 100?

    Ni kitu flani Cha kipuuzi sana naa mara nyingi mtandao unasumbua na husuma haijafanikiwa ila inakuwa umeliwa
Back
Top Bottom