brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 248
- 143
- Thread starter
- #21
#asante sanaMsaada wangu kaka umeishia hapo. Sina kipya mzee wangu
#asante sanaMsaada wangu kaka umeishia hapo. Sina kipya mzee wangu
#hakuna aliye zaliwa anajuaSasa kama ticket ya bus umeshindwa kukata,ya ndege utaweza kweli?
#sijaelewa apaJAPANESE UNCENSORED
#asante ngoja nijaribu tenaIngia google
Andika jina la bus husika
Angalia huduma utakayo
Chagua kukata ticket
Usalama ni asilimia 100
Mfano wa BM coach
![]()
BM Coach — Usafiri wa mabasi kati ya miji Tanzania tangu 1996
BM Coach inaendesha mabasi zaidi ya 100 katika njia za Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Moshi, Arusha na Turiani. Weka nafasi ya kiti katika mojawapo ya vituo vyetu 11.www.bmcoach.co.tz
Elfu 70 Dar-mwanza labda uende kwa mguu hadi dodoma ukifika hapo ndo ukate ticket kwa bei hiyo#nimejaribu kuangalia tiketi kwenye ottap lakini sijaona gari yenye bei 70000 au chini ya apo. Nawezaje kupata
Elfu 70 Dar-mwanza labda uende kwa mguu hadi dodoma ukifika hapo ndo ukate ticket kwa bei hiyo