Nadhani niliweka wazi umbali alipo mume wake kikazi kutoka nyumbani ambapo nilitaja kilometer kadhaa, alimuaga vizuri ya kuwa ni nini anaenda kufanya kwa maslahi ya familia na kumsindikiza vizuri tu mpaka stand. Kwa alichouliza huyo bwana ni kwanini aende kulala msibani bila taarifa na kuacha...
Kwakweli japo ni mara yangu ya kwanza kupost hapa, nimeridhika na mitizamo yenu mipana wote mliochangia kwenye suala zima la mahusiano. Ila ni nini kifanyike sasa ili jamaa yangu aweze kunusuru ndoa yake kwa maslahi mapana ya familia yake hususani watoto.
Ndugu zanguni wanajamvi, nakuja hapa kwa jambo lililomtokea rafiki yangu live, kwanza natanguliza salamu.
Rafiki yangu kamwoa mwanamke wa kabila tofauti na yeye, mke wake mara nyingi anapenda kwenda nyumbani kwao ambapo ni kwa mama yake mzazi na kwabahati mbaya baba yake alishafariki. Kimsingi...
WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.
Pili, haina madhara kwa afya?
Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi...
1. Ccm kudharau maoni ya wananchi kwenye rasimu ya tume ya Warioba.
2. Kupaaa kwa deni la taifa ambapo sasa hata mtoto aliye tumboni anadaiwa shilingi 400000
3. Wizi wa fedha za walipa kodi kupitia Escrow akaunti
4. Utawala mbovu nawa kidhalimu usio heshimu haki za kiraia na kidemokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.