Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

phojamhone

Member
May 18, 2014
26
4
WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.

Pili, haina madhara kwa afya?

Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.
 
Kiukweli dawa hiyo inafanya kazi vyema sana, hasa jogoo kuwa standby muda mrefu, inafanya kazi baada ya dakika 15 toka kumeza, shida yake ni kuwa ukiizoea, mishipa ya chombo inakuwa tegemezi sana, na matokeo yake, inaweza kukufanya usiendeshe baiskeli bila kutegemea msaada wa erecto kitu ambacho ni hatari.

Katka michezo yangu ya ugenini nilitumia mara tatu hivi ili kujenga heshima, lakini kilichotokea baada ya kipindi fulani nilihisi hamasa kupotea na kudevelop utegemezi!

Nikarudi kwenye ushauri wa asili nikajenga stamina after that, ikarejea kwenye hali ya kawaida. Hivyo sikushauri ufanye mazoea ya kuiumia ila mara moja kwa miezi sita si mbaya.
 
Sawa mlendamboga, ila hujaeleza ni mills zipi zenye madhara, kwani zinaanzia 20, 50 na 100. Ni ipi ulijaribu wewe
 
Nimetumia 50 na 100 lakini kwa 100 nilikuwa nagawa kidongo katikati ili kupata 50, mara moja nimetumia 100 kwa mara moja, so all in all zinafaa kujenga heshima kwa muda, baada ya hapo inalegeza misuri kiongozi nakufanya iwe tegemezi ushauri wangu tumia hizo 50 ila kama mnakomoana kula hiyo 100 kitu full mlingoti for some hrs!!!!!
 
WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.

Pili, haina madhara kwa afya?

Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.
Mimi ninayo Dawa yangu ya kuchelewa kufikia kileleni ni dawa ya mafuta unajipakaa kwenye uume wako na kisha unaanza kufanya mapenzi na haina madhara kwa binadamu mimi mwenyewe nimesha wahi kuitumia ukihitaji ninauza shillingi laki Laki 1 na nusu. Ukitaka nitumie Email baruwa ya pepe email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Au waweza kunitembelea kwenye blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu

Kiukweli dawa hiyo inafanya kazi vyema sana, hasa jogoo kuwa standby muda mrefu, inafanya kazi baada ya dakika 15 toka kumeza, shida yake ni kuwa ukiizoea, mishipa ya chombo inakuwa tegemezi sana, na matokeo yake, inaweza kukufanya usiendeshe baiskeli bila kutegemea msaada wa erecto kitu ambacho ni hatari.

Katka michezo yangu ya ugenini nilitumia mara tatu hivi ili kujenga heshima, lakini kilichotokea baada ya kipindi fulani nilihisi hamasa kupotea na kudevelop utegemezi!

Nikarudi kwenye ushauri wa asili nikajenga stamina after that, ikarejea kwenye hali ya kawaida. Hivyo sikushauri ufanye mazoea ya kuiumia ila mara moja kwa miezi sita si mbaya.
Mkuu kwanini utumie Dawa halafu baadae inakuja kukudhuru (Side effect)? tumia Dawa zisizo kuwa na madhara ni bora kuliko kutumia dawa zenye madhara halafu ukija kuacha uume wako unakuwa ni wenye kusinyaa hausimami kama zamani tuwe waangalifu na madawa ya kizungu.
 
Kiukweli dawa hiyo inafanya kazi vyema sana, hasa jogoo kuwa standby muda mrefu, inafanya kazi baada ya dakika 15 toka kumeza, shida yake ni kuwa ukiizoea, mishipa ya chombo inakuwa tegemezi sana, na matokeo yake, inaweza kukufanya usiendeshe baiskeli bila kutegemea msaada wa erecto kitu ambacho ni hatari.

Katka michezo yangu ya ugenini nilitumia mara tatu hivi ili kujenga heshima, lakini kilichotokea baada ya kipindi fulani nilihisi hamasa kupotea na kudevelop utegemezi!

Nikarudi kwenye ushauri wa asili nikajenga stamina after that, ikarejea kwenye hali ya kawaida. Hivyo sikushauri ufanye mazoea ya kuiumia ila mara moja kwa miezi sita si mbaya.

kuna funzo hapa nimepata je upunguvu wa nguvu za kiume ugonjwa????
 
Baadhi ya madhara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ni kuumwa na kichwa, kuharisha, kichefuchefu na kizunguzungu.

Watumiaji chache wanakabiliwa na madhara haya.

Madhara haya ni kawaida kwa watu wale ambao hubadili dawa mara kwa mara bila kufuata ushauri wa daktari.
 
kuna dawa inaitwa MULTI MACA. tatizo hilo linasababishwa na mfumo wa hormone kutokwenda vizuri ktk mwili wa mwanaume. hii inasababishwa na sumu zitokanazo na vyakula tunavyokula. mwenye tatizo hili ani PM nimsaidie manake ninayo
 
Guys nilimpoteza rafiki yangu wa karibu Mr Omary (alikuwa mmiliki wa Q-Bar arusha) baada ya kutumia hizo dawa za kuongeza kuongeza nguvu AKA ERECTO!! na alikufa guest akiwa na dem (mchepuko)

Sikushauriuzitumie!! Fanya mazoezi asubuhi, control uzito wako, pumzika mchana, kula mlo kamili (kula mara 4 kwa cku). matunda kwa wingi na jifunze kujiamini!! Hii ni dawa toshaaaa
 
Back
Top Bottom