Naombeni ushauri jamani

Naombeni ushauri jamani

Hapo mkulima umenena!
Si unaona jinsi Haki Elimu ilivyojipanga? Dr inabidi adeal na Wizara akiwa na kundi la watu wenye kuelewa what the system wants! Ku challenge system. Sasa Mama Salma kutembelea ndio nini? Ndio atapunguza vifo?

Common sense is not always common
 
Mi aiseee....ningemkubalia vizuri msamaha..ingepita wiki,ningemwambia "darling sory nimetoka kugegedwa leo,mwanaume yule yuko sooo moto"
Afu ningeona atareact vipi..senzi zake

Action and reaction are equal.....though move in different directions ..!!
Hawezi kukusamehe...
 
ndo nawe unapiga chin jumla
 
Sasa mkuu unataka sisi tukuamulie habari ya msamaha?
 
Nina mpenzi ambaye tuna mwaka na nusu sasa.

Jana kantumia txt kwamb "baby sory" nilipojarbu kumuuliza hyo sori ni ya nini akafunguka na kusema kna kipindi nilikuwa nakcheat nilikuwa na mahusiano na mtu mwingine kwa muda wa miezi ka miwil hivi but hatujafanya chochote.

Kiukweli moyo ulipasuka so kawaida nIlipojarbu kumhoji kwanini uliamua kufanya hivyo akasema alikuwa hajielewa na ndo maana aliamua kuachana nae na kubaki njia kuu..

kwa upande wangu sijamwelewa japo toka jana anaomba msamaha up to now ila nashindwa cha kumjibu kwani nahisi ka bado anandanganya..naomben ushauri ndugu zangu

Atakuwa hajielewi maisha yake yote

Piga chini mkuu
 
nashukuru sana ndugu zang kwa ushaur...now power 2 me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom