Recent content by Phoenix

  1. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Like Mother Like Daugther. Wote wana elimu za hapa na pale

    Tunda,halianguki mbali na mti.
  2. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Ukifika Msamvu pale Morogoro, usipande magari yafuatayo...

    Msamvu pana mambo ya ajabu mno,wapiga debe wasumbufu,wanakudaka juu juu,unatajiwa kuda mzuri.Ukilipia tu wanakula kona wanakuacha kama yatima,ukifuatilia unaishia kutukanwa.Pia wana ushirikiano mno ni kama hakuna utawala pale.
  3. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

    Si wasome hao wanaotaka
  4. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Kama tungewaacha Wachina Kariakoo, wangeharibu mfumo mzima wa biashara ya Tanzania

    Pia kwani wameachia hizo biashara au anazugwa na siasa!
  5. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Afisa polisi aliyanaswa na kamera akichota mafuta ashikiliwa na polisi

    Aisee umemaliza,akaona atakuta yameisha
  6. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Jamani matumizi ya status za watu ni personal,ikikukera 'mute'. Wengine hapa wanajishau oh hawapost sura zao lakini maisha Yao ya personal wameanika insta,Jf na FB! Ebu tupunguze unafiki.Kutopost kitu status haikufanyi kuwa smart sana kuliko anayepost.
  7. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Kwa hio nyie ndo watu wa juu na wa maana Sana?
  8. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

    Well said
  9. Phoenix

    JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi wakati wa ujauzito Kunaweza kuongeza kwa kiasi kidogo kichocheo cha kuanzisha uchungu ikiwa siku za kujifungua zimefika

    Kichwa cha habari umeuliza kuhusu kujifungua salama, ila mbele umeongelea kuhusu maumivu. Uchungu upo pale pale hata ukisanzuka mpaka siku ya mwisho. Kama hutaki kujisikia uchungu nenda Agakhan wakupige epidural.Utamaliza pesa yako yote.
  10. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wafariki kwa kulala na jiko la mkaa linalowaka

    Labda Burundi.
  11. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Bila uthibitisho? Angekupa elfu ishirini tu
  12. Phoenix

    JamiiForums Tanzania Kuna jongoo wenye sumu wanaouma?

    Tandu labda
Back
Top Bottom