Mdau ukiona mkeo anajificha kuhusu kujamba mbele yako ujue ana mengi anajificha. Kujamba kukojoa ukiwa unaoga ya kawaida. Kidogoo Hilo la kukata gogo ukiwa unaoga limekaa kushoto maana ukivundika mavyakula tumboni kitachotoka lazima ushike pua. Jitahidi kumuelekeza atakuelewa tu. Ni vya kawaida...
Wana jukwaa nikwamba nina hali ya kutokwa jasho jingi nikifanya zoezi.
Yaani kulowa jasho kawaida. Wakati mwingine hata ninapokula natokwa jasho. Je tatizo ni nini na linaishaje?
Maana nakunywa Maji ya kutosha mpaka lita 2 kwa siku.
Siasa si kama unavyo bashiri maana hata zitto wakati anahojiwa alijitamba kusimamisha wabunge karibu majimbo yote lakini Mahimbo 264 kawa mbunge peke yake. Huko kubadilishia ndege angani ni kupigi?Lowasa kaleta hamasa kubwa kwa upinzani pia wazo la UKAWA limeonyesha mafanikio. Tumeona kwamba...
wana-forum mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo.. nina malengo ya kuanzisha biashara japo sina uzoefu wa kutosha.. Nina mtaji mdogo sana wa kama milioni moja na bado sijajua ni biashara gani inaweza kuwa na manufaa kwanza as long as sipendi nuajiliwa. hivyo naombeni mawazo yenu juu ya kipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.