Recent content by phitter

  1. phitter

    Ni kitu gani unauelewa nacho, ambacho ungependa watu wengine wakijue?

    Twiga akiwa anatembea miguu yake ya upande mmoja inaenda pamoja Kwa mfano miguu ya kushoto mbele na nyuma ananyanyua pamoja ikishuka ananyanyua ile ya kulia pamoja Ni tofauti na wanyama wengine
  2. phitter

    Elmura Phone Repair Iphone & Samsung

    Iphone 6 plus, ilidondoka kwenye maji ikiwa on baada ya hapo haijawahi kuwaka tena hata baada ya kuweka kwenye mchele kwa siku 4 Mwongozo tafadhari
  3. phitter

    Msaada:Nategemea kusafiri kutoka Mwanza kwenda Arusha bajeti yangu ni Tsh10,000/=

    Hujaeleweka hiyo elfu 10 ni ya kufanyia nini, nauli, pesa ya kila siku ukiwa Arusha, au nini?
  4. phitter

    Sina hamu na mademu wa kisukuma

    Muulize vizuri kabila lake itakuwa umetumia sifa zinazotajwa mitandaoni kutengeneza threat,,,,, kwamba msukuma mkorofi what a hell?
  5. phitter

    Adhabu gani mbaya umewahi ona mwizi akipewa

    Kuna mmoja huyo hata hakupigwa maana ilisemekana ana hirizi hata wapige vipi hawezi kufa so wanaojua mambo hawakusumbuka hata akashindiliwa msumari wa nchi 6 sikioni half akaruhusiwa kuondoka hakufika hata 50m akapunga mkono wa kwa kheri akafa
  6. phitter

    Ushauri wako unahitajika haraka

    Sasa unataka uconfirm nini wakati umepangiwa chuo kimoja mkuu? Relax jiandae kwenda masomoni
  7. phitter

    Watanzania tusishangilie shule za Serikali kufanya vizuri bila kujiuliza maswali haya

    Kwa nini hujawaza wanaotokea private school wakifika chuo kikuu wanakuwaje kwenye taaruma, si tunakutana nao huko,, ukishawaza hapo utajipinga na hoja zako
  8. phitter

    Nani analamba dume! Man Utd/Arsenal?

    Micky unamuona garasa kwa sababu alikuwa anapakishwa basi wakti yeye hajui hayo
  9. phitter

    Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

    Shafiih anacopy na kupaste news za magazete ya ulaya na kitendo cha kujifanya yeye ndo hashauriki kimtazamo ndo kinamharibia sana,,,,,,,EDDO KUMWEMBE NAMKUBALI
  10. phitter

    Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

    Mchambuzi Super Sports South Africa
  11. phitter

    Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?

    Mkuu heshima kwako tafadhari popote ulipo
  12. phitter

    Hapa ndo mapenzi yanapokuwa magumu, mchumba wangu jamaa zangu 3 walishawahi kutoka naye

    Kwanza pole sana mkuu Unajua hata kama ukioa malaya lkn usijue walio do nae,,,, lkn kama wapo mtaani kwako na wote kakubali kawagaiwia aseeee kwangu bibi badiri gia nenda kwingine utaja teseka bure kwa mawazo na wivu wa kila saaa
Back
Top Bottom