Nilinua dawa ya kupaka nikapaka ile Hali ikaisha ndani ya siku tatu now niko ok niliambiwa ni infections ndogo tu kulingana na kazi ninazofanya Niko kiwandani so kemikali ni nyingi sana
Nimefanya ivo lakini bado Navaa viatu Mda mrefu juli gaan na mazingira ya kazi ila iyo haruf Inanikera sana kuna mtu kanambia nipake sabuni inayoitwa be you ila sjaipata madukani kariakoo msaada kwa anaejua zinakopatikana bx
Mi Naomba kuuliza jamani inakuwaje kama umeishafanya utambulisho na mahari ishalipwa mmeishi wote kwa Mda labda wa mwaka mmoja izo hatua za pete ya u chumba sjui sends off nd hakuna tena! Au hata kama mliishi wote unaweza kuzifanya izo hatua pia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.