Akatanyukwilwe
Member
- Aug 1, 2014
- 34
- 14
sifa kuu ya great thinker ni ku-reason kitu kinachotia mashaka! Kusema nawaone wivu wadada na ninaham ya kuvishwa pete ya uchumba, si vibaya kwani hayo ni maoni yako ila yanadalili kuwa umeshindwa ku-argue with critical arguements! Waafrika tunashindwa karibu kwa kila kitu, sababu kuu ni kutoshughulisha ubongo wetu hata kwa vitu vidogo! Kila kitu tunasubiri kuiga kwa wenzetu!! Wakati mwingine, hata 'kushadadia' vitu na mawazo ya kipuuzi kutoka ughaibuni ambayo hata hamjui maana zake kwani kimsingi kila kitu unachokiona, kina maana yake!
Uncle Jei Jei acha hasira. Aliyeleta majibu ya mungu jua hana anachokijua juu ya imani. Wao kama waliamini pete ni mungu jua mm naamini pete ni ishara/alama ya kuonyesha kuwa msichana yuko na mtu basi. Kwa nn mnataka kuwafanya watu waamini nyinyi mnavyofikilia?