Recent content by philipo mbogo

  1. philipo mbogo

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Kila mmoja akipaza sauti tunaweza zuia izi ajali. Chonde chonde abiria tuungane pamoja kukemea madereva wanao hatarisha maisha yetu.
  2. philipo mbogo

    CV ya Dr. Hoseah

    Cv bila uwajibikaji aina tija
  3. philipo mbogo

    Magaidi mkoani Simiyu ni sinema au ni kweli?

    Ayo ni mazoez ambayo yanafanywa na ata ktk mataifa yaliyoendelea. Wenzetu wanafanya kwa kutumia treni, bus, ndege au meli ivo lilofanywa na polisi wa tz kawaida tu
  4. philipo mbogo

    'Gari ya Magufuli' inaonekana sehemu tofauti Dar

    Iyo plate number alkuwa anatumia Mh. Late Filikunjombe na iyo gari ilkuwa ya yake pia
  5. philipo mbogo

    Majambazi wawili wauawa katika tukio la ujambazi Sinza

    Ha ha ha ha ha!!! Bastola aina ya Pistol
  6. philipo mbogo

    SHIKAMOONI wachoma nyama pale mikumi mbugani

    Ama kweli wanastahili pongezi hususa wale wamasai wanaochoma nyama ya mbuzi. Pale huwa nachukua mguu mzima wa mbuzi.
  7. philipo mbogo

    Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Ndiyo Igp anampigia Cdf saluti
  8. philipo mbogo

    Magufuli awakonga nyoyo Afrika Kusini

    Dr. Magufuli Kawa mtamu kama mcharo
  9. philipo mbogo

    Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

    Wafuasi wa ukawa akuna muungano ndiyo maana tunakimbizwa sana
  10. philipo mbogo

    Majina ya Bodaboda hayapo ktk kupiga kura

    Thread yako aina kichwa wa kiwili wili. Iv majina ya hao boda boda yana alama gani inayotofautisha na majina mengine?
  11. philipo mbogo

    Radio Imani imepoteza dira ya kuwa sauti ya wanyonge na Waislam

    Imebadilika baada ya kuzungumzia siasa ya ccm, ina maana ingezungumzia siasa za ukawa iv ungeleta thread hii?
  12. philipo mbogo

    Vietel/ Halotel vs TTCL

    Vietel/halotel hii ni kampuni ya simu /mtandao ni ya jeshi la Vietnam
Back
Top Bottom