Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
...mesopotamia, uyunani, nazareti, sayuni hadi lawi
Enzi hizooo mtu unasoma Bible knowledge lazima ukutane na maneno kama haya....
Hahahaaaa
...mesopotamia, uyunani, nazareti, sayuni hadi lawi
Habari za mtu huyu zinaenea kwa kasi , galilaya yoote, efeso , yuda......n.k
Uru ya ukaldayo, Samaria, bethania, Galatia na rumi
Endeleeni kumlewesha na misifa ya kijinga wakati bado kuna mambo kibao ya muhimu kushinda hayo ya kushtukiza na kusimamisha vidagaa kazi ili hali mapapa yapo yanaendelea kutumbua
Hahahahahahah nimecheka sana mkuu
Mkuu Nakuomba Tupunguze Kidogo UKALI Wa Viingereza Vyetu Kwani Humu Kuna Watu Kama nifah, kadoda11 na Mussolin5 Hakika TUMEWAACHA Na Hawatajua Nini Tumeandika Hapo Mkuu Na Ukizingatia Kuwa Viingereza Vyao Vyote Hao WAMEJIFUNZIA Hapo Makumbusho / Mwenge Kwa Ras Simba. Watanzania Ukiwaandikia Kwa Kiingereza Ni Sawa Na Kuwaambia Wakaogelee Mto Rufiji Wenye Mamba Na Viboko Wengi. Acha Tu Hii Lugha Ibaki Huku Kwetu Rwanda, Kenya Na Uganda Tu Kwani Ndiyo Pekee TUNAOIJUA IPASAVYO Kwa Kuizungumza Na Kuiandika. Naomba Wale WATANZANIA Wote Mtakaopandwa Na JAZBA au HASIRA Na Hiki Nilichokisema Hapa ILI Niamini Kweli Mnajua Kiingereza Basi Mnijibu Kwa Kiingereza Na Hakika Atakayepatia au Kunikosha Nitampa Zawadi Nzuri. Nazisubiri Kwa Hamu Sana Responses Zenu.
Syria,thesalonike,efeso,nazareti na misriUru ya ukaldayo, Samaria, bethania, Galatia na rumi
hiyo list nomaSyria,thesalonike,efeso,nazareti na misri
Uru ya ukaldayo, Samaria, bethania, Galatia na rumi
I consumately concur; or as Senator Patrick Obahiagbon would put it: We must halt this ludicrously lugubrious kakistocracy. It is high time we demur against demuren (no onomatopoeic extrapolation intended). Because the country was on a precipice of apocalyptic crepscule. This jiggery pokery and paraplegic crinkum cankum that characterizes the post-election UKAWA is, to say the least, both sardonic and misanthropic.
Habari za mtu huyu zinaenea kwa kasi , galilaya yoote, efeso , yuda......n.k
Mkuu Nakuomba Tupunguze Kidogo UKALI Wa Viingereza Vyetu Kwani Humu Kuna Watu Kama nifah, kadoda11 na Mussolin5 Hakika TUMEWAACHA Na Hawatajua Nini Tumeandika Hapo Mkuu Na Ukizingatia Kuwa Viingereza Vyao Vyote Hao WAMEJIFUNZIA Hapo Makumbusho / Mwenge Kwa Ras Simba. Watanzania Ukiwaandikia Kwa Kiingereza Ni Sawa Na Kuwaambia Wakaogelee Mto Rufiji Wenye Mamba Na Viboko Wengi. Acha Tu Hii Lugha Ibaki Huku Kwetu Rwanda, Kenya Na Uganda Tu Kwani Ndiyo Pekee TUNAOIJUA IPASAVYO Kwa Kuizungumza Na Kuiandika. Naomba Wale WATANZANIA Wote Mtakaopandwa Na JAZBA au HASIRA Na Hiki Nilichokisema Hapa ILI Niamini Kweli Mnajua Kiingereza Basi Mnijibu Kwa Kiingereza Na Hakika Atakayepatia au Kunikosha Nitampa Zawadi Nzuri. Nazisubiri Kwa Hamu Sana Responses Zenu.
Wapi alipowakonga nyoyo south Africa na Australia? Nimesoma andiko lako sijaona.