hapa inabidi tupate na maelezo ya wazazi wake wanafunzi wenzake na walimu wa pale ili tujilizixhe haiwezekani walimu watano wamxhambulie halafu ukisikiliza kwa makini kuna sauti ya kike inasema acha apigwe kazidi ujeuri japo kweli kile kipgo ni kikubwa ila lazima tupate...
unajua kila mtu xaiv anamlamu walimu wote lkn nakuambie mwenye nilikuwa field tulipofka tukapewa semina kwanza na mkuu wa xhule akatuambie hapa bhana kuna wanafunzi wameshindikana kwanza kuja parade haji anaingia darasani anavyotaka hivyo walimu tunaomba mtusaidie sasa kuna mwalimu...
jaman tuweke mikeka hapa huu uzi ni kuelekazzana jinsi ya kumla mhindi kwa kuweka mikeka na kupeana ushauri wajamen tuweke naona leo na nyota twaweza mla leo
mie nimetoka hivi
s/korea win
japan 2+
serbia win
uruguay ht win
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.