Recent content by Phenome

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nina kichaa, tafadhali nisaidieni, msinikejeli wala kunisema...

    Habar wana jamii, kwanza nianze kwa kusema mm ni mtu mwenye hasira sana, ninasumbuliwa na depression napenda kujiisolate na kukaa mwenyewe, tangu nimalize chuo sikutafuta kazi nimejifungia ndani huu mwaka wa tano, sikuwa naelewa tatizo langu nini Ila nimejua mwaka Jana kuwa shida ni mental...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga Moshi mjini

    Njoo inbox
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    Tangawiz si yakupikia chai jaman,mm nina shida nayo nisaidie kuyapata naskia mazuri sana kwa wanawake I want them
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    Nimesema tu, unajishtukia
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    Naya Jaman anayeyajua anitafute nitampa hela anitumie, matapeli kaeni mbali.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    Debe moja
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    Nayapataje haya matunda
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    unanisaidiaje Niyapate haya nina kaz nayo
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    yanaongeza nguvu za kike
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    Naomba msaada kwa yoyote anayeyafahamu matunda haya na upatikanaj wake Tanzania
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya mgogoro kati ya Iran na Marekani

    sehemu ya nne
  12. P

    JamiiForums Tanzania Raha ya tendo la ndoa ni uthibitisho kuwa maneno ya kwenye Biblia yana ukweli na kwamba yametoka kwa Mungu/Nature

    hayo ni yako sasa. biblia inasema mungu akawabariki akawaambia zaen muijaze dunia, kuzaa kunatokana na tendo, na tendo linahusisha viungo vya siri kat ya mwanaume na mwanamke, there is no logical reason to say kulikuwa na njia nyingine. where, how?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Raha ya tendo la ndoa ni uthibitisho kuwa maneno ya kwenye Biblia yana ukweli na kwamba yametoka kwa Mungu/Nature

    kama aliwanyiwa mbona aliwaambia wazaane waijaze dunia? alitegemea wangezaaje bila hilo tendo, na kwann awaumbie hivo viungo alafu awanyime kuvitumia. use ur common sense man
Back
Top Bottom