Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

Kwaio shetan hajasikilizwa
Wanadamu wanadamu tumieni ubongo wenu vzur jaman
 
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro ambao in fact haupo kwa sababu mungu hajaonyesha kuwepo, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mungu ameshindwa kabisa kutuonyesha kua kweli anatupenda kama anavyosemwa, ameshindwa kuonyesha kweli kua anajali Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.

Ntongeza ya mjumbe.
Mi nadhani haujaijua biblia vizuri, shetani aliasi baada ya mwanadamu kuumbwa sio kabla.

Kabla alikuwa malaika mzuri tu.

Ni kweli Mungu anajua kila kitu ila yeye hatuendeshi kama marobot, tuna haki ya kuchagua.

Naye anataka tumtumikie kwa free will na sio kwa lazima.
 
Hayo ya shetani kuasi baada ya binadam kuumbwa umeyatoa wapi?

Kwa hyo Adam alipokua anafundishwa mema na mabaya ilikua kabla shetani hajaasi, hvyo unasema mabaya yalikuwepo tu toka enzi na enzi na wala hayakuletwa na shetani?

Kama ndio hivyo basi shetani hana kosa.
 
Naomba usome tena nilichoandika. Make sure unakidigest kabla ya kureply
 
Upo sahihi kabisa lakini pia na habari za kutokuwepo tumezaliwa na kuzikuta yani tumekuta watu wakidai hakuna Mungu na wenye kudai yupo. Hivyo pia kuzaliwa na kukuta habari za kuwa hakuna Mungu,haifanyi kuwa hakuna Mungu.

Safi.
 
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro ambao in fact haupo kwa sababu mungu hajaonyesha kuwepo, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mungu ameshindwa kabisa kutuonyesha kua kweli anatupenda kama anavyosemwa, ameshindwa kuonyesha kweli kua anajali Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.

Ntongeza ya mjumbe.
Serikali ya mbinguni ni ya Mungu Baba yetu, anatawala kule,
Aliumba changamoto maksudi, (yaani challenges ni among creature) kwa viumbe wake wote anaowajua yeye, ili wawe up to date, na hao viumbe wake wana uungu ndani yao kama mimi, kwa sababu nimeumbwa kwa mfano wake, yaani huyo shetani hanisumbui namkemea km mtoto mdogo naye atii ajua hivyo.

Kuna baadhi ya binadamu wa leo ni kizazi cha nyoka (serpent offsprings) ambao either hawajui au wanajua nusunusu kuhusu neno. palipo na mkono wa Mungu na shetani ana plan ''B'' yake hapo. eg (Mungu aliumba Adam na Hawa. shetani kachomeka Cain, kiujanja sana kizazi hicho kipo mpaka leo kinamsaidia baba yao. yaani the devil)

Dhahiri tukirejea ktk suala la kumuona Mungu, wewe bana km siyo mwanae sahau, hujui taratibu za kumwona. Watawala wa Rumi, hawakumjua Yesu wakafanya wanavyojua lakn walijuta sana mpaka leo, mfano rahisi kwako, jiwe watanzania tunamwona sababu ni Rais wetu. Australians hawamjui, wanini kwao! kadhalika familia yako, haiwezi nijua mie ''smaki''. Biblia takatifu inasema Imani si mali ya kila mtu. na haiji kwa hekima za kibinadamu.
Imeandikwa Pasipo Mungu kufungua Akili hapana binadamu kujua mambo yake,utasema unavojua but neno litasimama, kumbuka kwamba Mungu hakufunua hekima yake kwa wajanja wenye maarifa na wafalme, badala yake akawapa watoto wadogo km kina Daniel, Michael, Anania, Azalia nk,kifupi mashujaa wa Imani walikuwa vijana.

Serikali za Duniani ni za wanadamu wanatawala, kwa mfano uleule wa Mungu mbinguni;
na sisi baadhi yetu ni roho, yaani ni miungu kwa mujibu wa Biblia, rejea (John 10;34. linadhihirisha) na mengine mengi, kifungu km nimeumbwa kwa mfano wake kitabu cha mwanzo tu hapo, kina maana kubwa sana. But siyo wote mlioumbwa kwa mfano wake.

Kwa mantiki hii ni sawa na Serikali za ki-Dunia, kwa mfano ya CCM iliwaandaa vijana wake wengi km kina Lisu na wenzake tena wengi kwa gharama kubwa sana, kama machipukizi wa chama ili waweze kushika hatamu na kuwa wanachama watiifu wa ccm, leo hii na sasa ni mwiba na wapinzani wakubwa wa baba lao ccm ileile ilowasomesha, kuwalinda, na kuwatetea kwa hali zote, na wengine walikuwa wanachama kindakindaki, lkn leo wanaomba usiku na mchana ccm iondoke madarakani. ni kawaida wameiga kiroho kulekule mbinguni. ni mambo hujitokeza yakawa ivo yaani ni maumbile yaliyowekwa na Mungu.ndivyo alivyotaka yeye.km yeye, mfano mie siwezi kukuchagulia nguo ya kuvaa leo hata siiijui.

Hata makoloni ya mwingereza ameandaa wengi tu, Km kina Julius(JK), Nkrumah, Mandela,nk, hakuwaua japo aliweza fanya hivyo. Kambarage alimuelimisha father Thom, alipomkamata rais JK angemuua kirahisi tu, au amfunge maisha. lkn kamtoroshea London, JK alijua kambona anatoroka but alimpotezea tu aende zake. ujue hiyo ni ileile roho ya Mungu ya ku accept challenges ilitenda kazi ndani ya JK,
ka ileee ya kumuachia sheitwani aende zake, tena hili jamaa ni kazi ya mikono yake;

krb ujiunge na masomo ya Biblia hapa Sydney.
 
Hakim mfawidhi yuko sahihi .Umemhukumu tu ila huo ni ukweli shetani aliasi kabla mwanadamu hajaumbwa..
Mi nadhani haujaijua biblia vizuri, shetani aliasi baada ya mwanadamu kuumbwa sio kabla.

Kabla alikuwa malaika mzuri tu.

Ni kweli Mungu anajua kila kitu ila yeye hatuendeshi kama marobot, tuna haki ya kuchagua.

Naye anataka tumtumikie kwa free will na sio kwa lazima.
 
Hakim mfawidh nakupinga mambo mawili
1.Kusema hadithi ya shetani,,usiseme neno la Mungu ni hadithi hio ni kulidharau.

2.Kusema dini haikuweka wazi sababu ya shetani kuasi na ilikuwaje akaasi sio kweli labda hujaamua kuitafiti ila imeelezwa kwa uyakinifu mkubwa kabisa.tena sehemu nyingi sana ndani ya biblia.
 
Serikali ya mbinguni ni ya Mungu Baba yetu, anatawala kule,
Aliumba changamoto maksudi, (yaani challenges ni among creature) kwa viumbe wake wote anaowajua yeye, ili wawe up to date, na hao viumbe wake wana uungu ndani yao kama mimi, kwa sababu nimeumbwa kwa mfano wake, yaani huyo shetani hanisumbui namkemea km mtoto mdogo naye atii ajua hivyo.
Kuna baadhi ya binadamu wa leo ni kizazi cha nyoka (serpent offsprings) ambao either hawajui au wanajua nusunusu kuhusu neno. palipo na mkono wa Mungu na shetani ana plan ''B'' yake hapo. eg (Mungu aliumba Adam na Hawa. shetani kachomeka Cain, kiujanja sana kizazi hicho kipo mpaka leo kinamsaidia baba yao. yaani the devil)

Dhahiri tukirejea ktk suala la kumuona Mungu, wewe bana km siyo mwanae sahau, hujui taratibu za kumwona. Watawala wa Rumi, hawakumjua Yesu wakafanya wanavyojua lakn walijuta sana mpaka leo, mfano rahisi kwako, jiwe watanzania tunamwona sababu ni Rais wetu. Australians hawamjui, wanini kwao! kadhalika familia yako, haiwezi nijua mie ''smaki''. Biblia takatifu inasema Imani si mali ya kila mtu. na haiji kwa hekima za kibinadamu.
Imeandikwa Pasipo Mungu kufungua Akili hapana binadamu kujua mambo yake,utasema unavojua but neno litasimama, kumbuka kwamba Mungu hakufunua hekima yake kwa wajanja wenye maarifa na wafalme, badala yake akawapa watoto wadogo km kina Daniel, Michael, Anania, Azalia nk,kifupi mashujaa wa Imani walikuwa vijana.

Serikali za Duniani ni za wanadamu wanatawala, kwa mfano uleule wa Mungu mbinguni;
na sisi baadhi yetu ni roho, yaani ni miungu kwa mujibu wa Biblia, rejea (John 10;34. linadhihirisha) na mengine mengi, kifungu km nimeumbwa kwa mfano wake kitabu cha mwanzo tu hapo, kina maana kubwa sana. But siyo wote mlioumbwa kwa mfano wake.

Kwa mantiki hii ni sawa na Serikali za ki-Dunia, kwa mfano ya CCM iliwaandaa vijana wake wengi km kina Lisu na wenzake tena wengi kwa gharama kubwa sana, kama machipukizi wa chama ili waweze kushika hatamu na kuwa wanachama watiifu wa ccm, leo hii na sasa ni mwiba na wapinzani wakubwa wa baba lao ccm ileile ilowasomesha, kuwalinda, na kuwatetea kwa hali zote, na wengine walikuwa wanachama kindakindaki, lkn leo wanaomba usiku na mchana ccm iondoke madarakani. ni kawaida wameiga kiroho kulekule mbinguni. ni mambo hujitokeza yakawa ivo yaani ni maumbile yaliyowekwa na Mungu.ndivyo alivyotaka yeye.km yeye, mfano mie siwezi kukuchagulia nguo ya kuvaa leo hata siiijui.
Hata makoloni ya mwingereza ameandaa wengi tu, Km kina Julius(JK), Nkrumah, Mandela,nk, hakuwaua japo aliweza fanya hivyo. Kambarage alimuelimisha father Thom, alipomkamata rais JK angemuua kirahisi tu, au amfunge maisha. lkn kamtoroshea London, JK alijua kambona anatoroka but alimpotezea tu aende zake. ujue hiyo ni ileile roho ya Mungu ya ku accept challenges ilitenda kazi ndani ya JK,
ka ileee ya kumuachia sheitwani aende zake, tena hili jamaa ni kazi ya mikono yake;

krb ujiunge na masomo ya Biblia hapa Sydney.
umekosea hizo sehemu zenye Red
1.Binadamu woote waliumbwa kwa mfano wa Mungu (Mwanzo 1:26)
2.Si kweli kwamba serikali za dunia zinatawala kwa mfano ule ule wa Mungu mbinguni hakuna mahali katika Biblia imeandikwa hivyo.
3.Utawala wa Mungu hauna mipaka na ni wa milele anatawala koote mbinguni na Duniani na nje ya dunia (Zaburi 145:13)
4.Mungu hakuumba changamoto (Luka 17:1-4)
5.Kuna watu wamewahi muona Mungu,kuona roho ya Mungu face to face,
>Musa alimuona Mungu uso kwa uso Kutoka 24:9,
>Yakobo alionana na Mungu uso kwa uso Mwanzo 32:30
>Mikaya alimuona Mungu 1Wafalme 22:19
6.Hayo ya mkoloni na wanasiasa ni dhana tu ambayo umehisi ila huna uthibitisho
 
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro ambao in fact haupo kwa sababu mungu hajaonyesha kuwepo, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mungu ameshindwa kabisa kutuonyesha kua kweli anatupenda kama anavyosemwa, ameshindwa kuonyesha kweli kua anajali Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.

Ntongeza ya mjumbe.
Maswali na hoja za mleta mada ni nzuri sana na kwa kweli ni za msingi sana na nadhani yapo akilini mwa baadhi ya watu,japo kimya kimya.Japo majibu kwa yote si rahisi sana,labda nigusie maoni yangu tu kujibu baadhi (kama yatakidhi hoja).

Kweli,madai dhidi ya shetani yapo one-sided.Hayo madai yametolewa na kuainishwa kupitia vitabu vya Mwenyezi Mungu.Upande wa pili (wa shetani) kama yupo nasi hapa duniani baada ya kufurushwa huko Mbinguni,basi ana mda wa kutosha sana ama kujibu hoja ama kueleza kwa namna mbali mbali na hata kupitia mawakala wake.Na pia,kwa kitabu ambacho kinaaminika kuwa ni kitabu chake (black book),naye angetoa majibu humo.Lakini,ilimradi madai dhidi yake yalisemwa wazi,na makosa ya Hawa na Adam yaliainishwa wazi bila kuwapendelea,kuna ushawishi wa kutosha kuwa maelezo yalikuwa ni ya kweli na haki,shetani hana jipya.

Lakini,hata bila kujieleza kwa kupitia labda kitabu,walao yupo humu humu ulimwenguni(kadri tunavyoambiwa).Basi ana mda wa kutosha wa kueleza upande wake wa habari hata kupitia maajenti wake.Lakini yaelekea hana jipya,ni kupotosha tu.Na labda ajua kweli haipo upande wake,ndio sababu hajibu kitu,ila anatambaa sambamba na hiyo kweli ya Neno la Mungu na kulipotosha au kulipindisha kinamna kwa faida zake za kishetani kila apatapo mwanya,kama alivyofanya kwa Hawa.

Pili,baada ya kukosa kutii maelekezo ya Mungu, Adam na mkewe walifukuzwa kutoka bustani ya Eden.Walizuiwa wasije wakala matunda kutoka mti wa uzima,wakaishi milele: mwanzo 3:22-24. Haikuwa kusudi ili wasiwe kama Yeye Mwenyezi Mungu kwa namna inavyoweza kuchukuliwa,na labda shetani alitumia mwanya huo kuwalaghai.Kwa mtazamo wangu,wangeweza hata kuishi milele(kama Mungu labda,kwani ndio twaona walizuiwa wasile hayo matunda yenye kuwezesha kuishi milele) kama wangekula,lakini hata hivyo haimaanishi wangeweza kulingana na Mungu katika sifa zake za ukuu.Kwamba,kuishi kwao milele Adam na Hawa hakungewalinganisha na kuishi milele wakiwa na sifa,uwezo na ukuu kama wa Mwenyezi Mungu.Mbaya zaidi,tayari walikuwa na mwanzo wa maisha yao.Hivyo hata huo umilele wao adam na Hawa,tayari ungekuwa na mwanzo tu,wakati twafundishwa na twaamini kuwa, Mungu yeye hana mwanzo.

Tatu,shetani ni roho na twajua,anayeweza kuifisha roho ni Mungu mwenyewe tu.Ndio kusema hata hawa watumishi wa Mungu,pamoja na kuwa na uwezo wa kuwatimua na kuwatiisha mapepo,lakini huo uwezo wa kuwaua, wao hawana.

Shetani akishafanya mambo yake,na akishashindwa,hutokomea tu huku kaacha uharibifu tu. Angalia hadidhi ya Ayubu. shetani alijenga hoja kwa Mungu dhidi ya Ayubu,na akaruhusiwa akamjaribu Ayubu na akafanya aliyoyafanya.Alipoona hakufanikiwa hatua za awali,shetani akaenda tena kwa Mungu na kujenga hoja nyingine na kuomba kibali aruhusiwe aongeze m'binyo kwa Ayubu.shetani akatimiza alichotaka,ila hakufanikiwa-hoja zake zikasambaratika tupu lakini kaacha hasara tupu na maumivu sana kwa Ayubu.Hatimae shetani alitokomea zake kimya kimya.Ayubu akabaki na Mungu wake na hatimae kuipata faraja yake toka kwa Mungu.

Hivyo,si jambo la ajabu kuwa,hoja na hukumu zilizotolewa wakati wa Adamu na Hawa dhidi ya shetani,zina kweli.shetani ni wa kutokomeaga kama kawaida akishindwa.Naona hana upande wa kuelezea hoja yake katika hilo,ndio sababu yupo kimya.
 
Kumb 29:29"mambo ya siri ni ya BWANA ,Mungu wetu;lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto milele, ....." usipende kuchambua mambo mengine utajizulia laana tu ,kwani hata uende wapi hautapata jibu, labda ujitahidi ukifika mbinguni utamuuliza Mungu mwenyewe,kuhusiana na uasi wa shetani na anguko la Adam nitaandaa thread jukwaa la Dini
 
Mungu hakurekebisha kwa sababu hayupo. Mungu ambaye hayupo, hawezi kurekebisha kitu.

Na huyo shetani naye hayupo anasingiziwa tu.

Mabaya au mazuri wanayofanya watu, wanayafanya wao.

Hakuna uthibitisho wowote kwamba kuna Mungu wala shetani.

Na habari za kuwepo Mungu, ukizichunguza sana, utaona zina uongo mwingi wa kijinga.

Ni hadithi tulizojiwekea kurahisisha majibu ya maswali magumu ambayo hatukuwa na majibu yake.

Sasa tunavyozidi kuongeza maarifa na kupata mwanga Zaidi kuhusu majibu halisi na ya ukweli ya maswali haya, ni muda muafaka wa kuitupilia mbali hii dhana potofu ya kuwepo kwa Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
 
Back
Top Bottom